CCM itaendelea kutawala zaidi ya miaka mia ijayo

Huu ni ukweli mchungu ambao wasiopenda ukweli, hawataki kuupokea na kuukubali, sisi wasema kweli, tunaendelea kuusema ukweli huu kwa kuwashauri Watanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Hili la CCM kutawala milele, nilipoelezwa mwanzo na huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. niliona nikama ndoto!.

Nikaja kufanya research yangu mwenyewe kuhusu CCM, CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!

Na mwisho nikajiuliza kuhusu mbinu inazotumia kushinda uchaguzi nikajigundua CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?

Huo ndio ukweli wenyewe!.
P
huu ukweli ni mchungu Ila hakuna namna , never quet the truth , learn to accept & challenge !!

ccm inamizizi mirefu Sana ni Kama mti wa mbuyu , kuung'oa greda itahitajika. nilichojifunza kwa hiki chama , ni chama kinachotumia sayansi ya Hali ya juu Sana, ktk kukilea na kukijenga chama, Hawa jamaa ndani ya chama Wana plan Kama za WHITE HOUSE YA USA.yaani wana long-run plan , ambazo kila mwenyekiti sharti apite mule na marufuku kufeli. na pia wanawekeza Sana kwenye chama , wanavilea vi uvccm tangu vikiwa secondary Hadi wanakuwa wakubwa, na wanawafuatilia kwelikweli !! chama chenye sayansi hii Kali kukitoa sahau.
 
Sahihi kabisa

Ila kuna wengine hawataki kuelewa kazi kushupaza mishingo tu
 
Huu ni ukweli mchungu ambao wasiopenda ukweli, hawataki kuupokea na kuukubali, sisi wasema kweli, tunaendelea kuusema ukweli huu kwa kuwashauri Watanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Hili la CCM kutawala milele, nilipoelezwa mwanzo na huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. niliona nikama ndoto!.

Nikaja kufanya research yangu mwenyewe kuhusu CCM, CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!

Na mwisho nikajiuliza kuhusu mbinu inazotumia kushinda uchaguzi nikajigundua CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?

Huo ndio ukweli wenyewe!.
P
Kweli ni nini Pascal...tafadhali!
 
ona muhemuko ulivokujaa.. eti mpima samaki kwa KURA
Yaani hizi simu janja we acha tu, kuna jamaa alimwandikia ujumbe mkwewe akitaka kumwambia kwema huko?
Sasa simu janja si ikaandika kwenda huko?
Mpaka leo ni mwezi hawaongei
 
Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa.

Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni historia itaendelea kujirudia.
Unajua? Hata mfumo wa chama kimoja ukirudishwa CCM itaondoka yenyewe chini ya miaka 20 ijayo.
 
Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa.

Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni historia itaendelea kujirudia.
Kutawala nchi ipi?
 
Katiba mpya ni muhimu. !
 
Ni kweli, itatawala muda mrefu kwa shuruti wala sio kwa ridhaa ya umma. Huo unaoona ni ujanja wa CCM, sisi kwetu tunaona ni ujanja wa kizamani. Nyalandu alikuja na mbinu hiyo ya kizee, mbona aliachiwa manyoya na leo karudi zake huko huko CCM? Kosa la kumpokea Lowassa halitakaa lijirudie.
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom