WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
hata sasa inanyesha kwani wewe huoni kimbunga chake? Lowasa ni jabali
mwambieni low.asa akatubu laana ya baba wa taifa kwa ufisadi mkubwa alio ufanya ndani ya taifa hili tanzania!
hata sasa inanyesha kwani wewe huoni kimbunga chake? Lowasa ni jabali
mwambieni low.asa akatubu laana ya baba wa taifa kwa ufisadi mkubwa alio ufanya ndani ya taifa hili tanzania!
Ukiendekeza njaa utaharibu utu wako
wewe ni team ipi? lowasa,membe,sitta,makamba au majimarefu???????
labda tumaini la nyumbani kwenu!!! mwizi tumpeleke wapi???? akatuibie tena???
Mwaka huu mtajipendekeza kwa watu mpaka mzeeke sisi wenzenu tunasubiri mda ufike ndipo tuseme zaidi kuhusu masuala haya.
Lowasa ni Kipenzi cha watanzania wote kama alivyo Zitto.
Ccm wakimchagua lowassa kidogo anaweza akaipa homa CDM,wengine hawa ni mamburula tu.
Umefanya utafiti wowote au umeamua kulopoka tu! kuna poll iliendeshwa hapa jf na Zito alioneka kupata sapoti kidogo sana kama ambavyo Lowasa anaelekea kuwa defeated na Dr. Slaa. Kuongea bila tafiti ni sawa na kujambaLowasa ni Kipenzi cha watanzania wote kama alivyo Zitto.
mwambieni low.asa akatubu laana ya baba wa taifa kwa ufisadi mkubwa alio ufanya ndani ya taifa hili tanzania!
Kwa maana nyingine,Lowasa ni Kipenzi cha watanzania wote kama alivyo Zitto.
Mkuu wewe umeacha kuwa msemaji wa bavicha umekuwa msemaji wa ccm?
Sometimes unaakili JK. The weakest presida of all timesMbona Lowasa ndio habar ya mjini! Uzur jamaa hayuko close kivileee na waccm wale wapuuzi.... Najua atafanya mazuri maana ndan ya chama hakuna watu wa kumyumbisha ili afanye kwa maslah kama alivyo jk.