CCM INAYOKUFA MKOMBOZI WAKE NI MH. lOWASA

CCM INAYOKUFA MKOMBOZI WAKE NI MH. lOWASA

Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha CCM kwamba anayeweza kukinusuru Chama katika chaguzi zijazo ni Mh. Lowasa. Nayasema haya kwa kuwa chama kimekosa mtendaji na ndani ya chama mtendaji anayeonekana na kukubaliwa na wengi ni Lowasa. Ikumbukwe kuwa zao la vijana waliomaliza vyuo vikuu Tanzania kuanzia mwaka jana wengi wamesoma shule za kata ambazo mwasisi wake ni Lowasa, na wengi wapo tayari kwake. Vijana hawana ajira hatima yake wanajifanya wasanii na kutumikishwa na watu kubeba madawa ya kulevya na kwenye madanguro. CCM lazima impe nafasi Mh. LOWASA ili aweze wafikisha vijana wengi ambao hawana ajira kwenye ndoto zao maana alishawajengea msingi wa elimu hatokubali wapotee. Tafakari Mtanzania.

Kuna watu mnavyompenda Lowassa hata mkiambiwa kati ya baba yako mzazi na lowassa unataka nani awe mzazi wako mtamchagua Lowassa
 
Mbona Lowasa ndio habar ya mjini! Uzur jamaa hayuko close kivileee na waccm wale wapuuzi.... Najua atafanya mazuri maana ndan ya chama hakuna watu wa kumyumbisha ili afanye kwa maslah kama alivyo jk.

Yaani kweli CCM mmechoka,mpaka mnasimasha MAFISAFI waliokanwa mpaka na JK Nyerere kuwa marais!?

Kweli mmewadharau watanzania!
 
Mbona Lowasa ndio habar ya mjini! Uzur jamaa hayuko close kivileee na waccm wale wapuuzi.... Najua atafanya mazuri maana ndan ya chama hakuna watu wa kumyumbisha ili afanye kwa maslah kama alivyo jk.

Yaani kweli CCM mmechoka,mpaka mnasimasha MAFISADI waliokanwa mpaka na JK Nyerere kuwa marais!?

Kweli mmewadharau watanzania!
 
Kama sio Lowassa CCM sasa atasimama nani jamani...January,Uncle sam au labda Membe?.Hakuna na kibaya zaidi hakuna hata anaefanya efforts za kukubalika kwa watz.Am worried
 
Back
Top Bottom