Aisee Benki wakati huu? kweli nazidi kuamini CCM kinakosa maono ya kisasa na kufanya vitu vya ajabu sana...sasa Benki kwa chama tawala haileweki kwa kweli labda kama ni njia nyingine ya kutaka kufanya money laundering..!
CCM achaneni na masuala ya Benki wekeni sera nzuri za kuwasaidia wananchi katika masuala ya fedha na mta-win their support sio viini macho hivi...!
Iza,
You are absolutely right. CCM lacks vision na ndio maana tumefika hapa tulipo. Tanzania ni nchi tajiri sana hapa duniani kubali kataa!
Yes kinachotakiwa is to have sound monetary policy na sio kufungua Banks kama ilivyo biashara ya wamachinga . Hata kila mtu akifungua Benki yake haisaidii.
Kukikuwepo na Bank ya Nyumba ikafariki, wakafungua Benki ya maendeleo vijijini (CRDB) Kukikuwepo na Tanzania Investment Bank(TIB) ikafa ikafufuka, NBC ikapewa mtu bure kwa USD 10m/. Wameanzisha NMB for the purpose of micro financing it has not worked, ilianzishwa na Postal Bank it didn't work wameanza na a lot of community Banks na nyingi za cooperative, Vikoba,still they didn't work, Kuna Mkombozi Bank ya Kanisa , Islamic Bank,wakabuni Benki ya Wanawake, sasa wanaanza ya Vijana halafu itaanzishwa ya Wasichana and then watoto!!, The ridle is this idea ya Bank ya CCM.
One can write a book. Hivi hawa watawala wa CCM lini watajifunza even after been in power for 50 solid years bado hamkui?
Bank kuu it has to formulate the policy put in place a regulatory mechanism . By simply fixing the interest rates and landing rates huna haja ya kuanzisha utitiri wa Banks tatizo ni kufikiria kwa kutumia Masaburi . Wizi mtupu kama mtu amekopa how dou you VAT a loan and then unatarajia mkopaji aweze kupata faida labda akuze Bangi. Just imagine umekopa Tshs. 1,000,000/ ukafanye biashara,in January this is the scenario:
20% Bank interest and no grace period you start paying principle and interest on Februay 2nd
18% VAT on all purchases
Even without going further 38% is gone hujanunua umeme, maji , kodi ya Nyumba , security local service charges, etc etc hutarajii huyo mtu kulipa hata ukimpata kitambulisho cha Taifa
Kazi kubwa ipo mpaka vichwa vya watawala vitakapofunguka huu mwendo mdundo wa kufikiria kwa kutumia Masaburi ni safari mbichi!,,! Not every Tom Jack and Henry can be an entrepreneur it's more than that . Create employment watu wasagwe wafanyekazi. Hii Tabia ya Kila mtu kutaka kujiajiri sijui?? Fanya kazi jinyime uweke akiba with good interest ikifikia Kiwango chako then go into investment alone or in cooperation wajameni that is the ABC!,,