akili kidogo
Member
- Jun 23, 2023
- 5
- 5
Samahani Mkuu mimi niko huku Namtumbo mtandao ni shida kidogo.....,Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Naomba unikumbushe awamu ya kwanza aliyogombea Rais Samia Suluhu Hassan ilikuwa mwaka gani na alipita kwa kura ngapi..? Labda naweza pata jambo la kuwafundisha vijana wenzangu leo jioni baada ya shughuli za Shamba.
Samahani lakini kwa kuniona mjinga na nisiye na akili kwa kuuliza kitu kama hiki labda kipindi hicho nilikuwa bado sijapata simu si unajua huku kijijini mpaka msimu uishe ndo unaweka laki mfukoni😁