CCM inamdhalilisha Rais Samia

CCM inamdhalilisha Rais Samia

Katiba inahesabu kuwa 2021-2025 ni kipindi cha kwanza cha Samia. Ikiwa atagombea 2025 akashinda,akifika 2030 katiba haitamruhusu tena kugombea uraisi.
HAPA HAKUNA KATIBA.....Rudi kasome tena?? MUHULA WA MGOMBEA URAIS NI WA KIPINDI CHA MIAKA MITANO TU!!!
 
Yule aliyeandika kwenye miamba kama yeye ni rais sasa itakuaje? Naulizatu sasa itakuaje ?
 
HAPA HAKUNA KATIBA.....Rudi kasome tena?? MUHULA WA MGOMBEA URAIS NI WA KIPINDI CHA MIAKA MITANO TU!!!
Haruhusiwi kugombea mitano mingine KWA mujibu wa katiba? Katiba haina kipengele kinachozungumzia vipindi viwili vinavyoruhusiwa KWA mgombea?
 
Kwa mujibu wa Katiba muhula wa pili KWAKE utaisha 2030, hivyo sasa hivi Yupo muhula wa kwanza na Kwa Utamaduni wa CCM uliozoeleka Huwa hakuna haja ya kuwapa fomu wengi wakati Yupo tayari aliyeanza kutekeleza Ilani muhula wa kwanza. HUKO CHADEMA, Uchaguzi wa Mwenyekiti unapofanyika anayejaribu kuleta upinzani hutazamwa negatively......Muulize Cecil Mwambe....
muhula wa kwanza wa samia bado hajauanza, labda aanze muhula wa kwanza kwake ni 2025 kama atatia nia, huu wa sasa ni muhula wa pili wa marehemu JPM aliyekuwa makamu wake anamalizia, ndio maana anamalizia kazi za JPM ambapo zitaishia 2025. CCM ilitoa muongozo huo na inatambua ni muhula wa pili wa utekelezaji wa ilani na ni wa mwisho baada ya hapo watanzania watasema ili ccm aje na ilani nyingine tumpime atakwenda kufanya nini miaka kumi mingine mipya......
 
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.

Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.

Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?

Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Sio udhalilishaji jamaa yangu
 
💩
 
Sio udhalilishaji jamaa yangu
Kama siyo udhalilishaji, tuite nini?

Unaponiwekea kinga kwamba, hairuhusiwi mtu kushindana na mimi, kwa vyovyote unaniambia kuwa wakiruhusiwa wengine, siwezi kushinda.
 
Tafsiri zinatofautian,subiri mwezi wa kumi Mbowe mtashindana nae huko kwenye chama chake,kachukue fomu ugombee.
 
Ngoja

Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?

Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?

Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!

Niko pale......

Hao wote, walijua kabisa kuwa hawana uwezo wa kushindana na rivals wenzao ndani ya shamba. Lazima wataangushwa kama kukiwa na uchaguzi wa haki.

Rais Samia kwa kauli na baadhi ya vitendo, anataka kujitofautisha na viongozi waliotangulia katika udikteta. Kama na yeye anatengenezewa mazingira ya viongozi watangulizi wake, atatofautiana nao kwa kitu gani?
 
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.

Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.

Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?

Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Kuielewa CCM kazi sana!

Wana majibu yote yote kutokana na were unatkaje!!

Angesema anapumzika wangesema mama wa demokrasia,Sasa kasema anagombea wamekazana ni yeye Hadi 2030!

Wanamfanya mjinga ili wamchoshe mapema aishiwe sera ukifika muda was kampeni amechoka nyang'a nyang'a!!waanze kumkekejeli na kumwaga undani wake vizuri Kwa wapinzani wake!!
 
Nashangaa nchi ya kidemokrasia, lakini CCM inaogopa kupingwa kijanja janja

Na hii ndio dalili ya wanayoyafanya hata kwenye uchaguzi dhidi ya vyama vingine

Ili tumpate magufuli mwingine ni lazima kuwepo na upinzani mkali kuanzia ndani ya chama mpaka nje
Vinginevyo hapo tutapata mafisadi tu

Shame
Ccm wawe jasiri kuachana na huu utaratibu wa sasa. Unaweza kuja kuwaletea madhara ikiwa wananchi watamkataa kwa kura nyingi. Isitoshe rais si malaika, anaweza kuwa dhaifu nchi ikaharibika, miaka 10 si mchezo kuja kurekebisha. Ipo siku huu ubabe utafika mwisho, tuangalie historia ya nchi jirani kama Zambia, Malawi, Kenya... ipo siku
 
Falsafa hizi, Yani CCM huwa anashindana au wizi tu. Wao wanaelewa ndani ya ccm wengi wanaamini Samia kabebwa hawezi, wakiruhusu watu wachukue form, this time ccm yote itagombea.
 
Ngoja

Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?

Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?

Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!

Niko pale......
Kiuhalisia ilitakiwa mwakani watu washindanishwe na fomu zitolewe kwa kila mwanachama mwenye sifa. SSH anamilizia awamu ya JPM, sema tu katiba yetu ina mapungufu sana.
 
Nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.

Ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Lini aligombea kwa awamu ya kwanza?
 
NI mahaba ni mapenzi kwa raisi wetu, kwa mwenyekiti wetu ,kipenzi mwanamke wa pekee,Daktari wa madaktari Samia Suluhu Hassani mama wa kizimkazi tunataka kumshindanisha na Mbowe ndio mwenyekiti Lissu bado sana!
Sasa kwanini mnamtukana na mnawalipa watu wamtukane mwanamke pekee daktari wa madaktari
 
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.

Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.

Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?

Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Ifeke mahala Samia ajitathmini....
 
Ndalichako kafukuzwa kazi.
Yule si ana PhD ya hesabu?
Sasa kwa nini afukuzwe kazi?
Badala yake tunaona rais juzi kapata PhD ya heshima.
Kabisa mimi sina Imani na rais huyu.
Ukilala usingizi,siyo kila kitu kinalala; moyo unadunda,kwa hiyo moyo haulali; mapafu yanapumua, kwa hiyo mapafu hayalali.
Halafu,mimi leo sijalala.
Ukilalala siyo kila kitu kinalala.
Vile vile,ukimsifu rais Samia,you cannot convince everyone.
Lazima wengine watapinga.
Serikali gani inafanyika hiring and firing kila baada ya saa arobaini na nane?
Nabii Ismail kazaliwa kwa sababu Abraham kamtafuna Hajira.
Leo tunaambiwa civil servant kafukuzwa kazi kwa sababu ' kambaka' mfanyakazi wa ndani.
Hili neno ' kubaka' labda linatumika too loosely.
 
Back
Top Bottom