Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Kha! Kwa hiyo mheshimiwa Rais ni Rais wa kifo?Hakupitia mchujo wowote, na hakuwahi kugombea Urais.
Ni Rais sababu ya KIFO, Si uchaguzi.
Yaani tumtambue kuwa sio wa matakwa ya wananchi bali yupo kwa matakwa ya kifo?
Sikuwahi kuwaza hilo na hata chief chawa Lucas Mwashambwa nadhani hilo hajawahi kulifikiri!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
