Dr Ntinkutina.
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 309
- 55
Asante sana Kyamtundu...
Mimi mwenyewe nilikuwa kilaza kwenye hizi takwimu japo nimekuwa nafuatilia sana.. Asante kwa kunifungua macho, hapa tuko sawa meen.. Bado kata za Arusha zitaongeza idadi ya kura hapo.
Arusha kura za cdm zitakuwa utitili. Baba subiria kishindo.