CCM inachukiwa kiasi hiki?

CCM inachukiwa kiasi hiki?

CDM inawapa tabu MAGAMBA,, KWA TAARIFA YAKO KAMA ITATOKEA UKAFANYIKA UCHAGUZI MDOGO KATA YA UKUMBI MAGAMBA MSITEGEMEE KUSHINDA, MOTO UNAOWAKA HUKU DHIDI YA MAGAMBA NI BALAA,., WANANCHI WAMEAMKA WANATAMBUA KWAMBA WAIZI NI CCM
 
jana msafara wa rais kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm umesimamishwa na wananchi ili awasalimie. yani aseme lau neno moja tu

Walikuwa na mabango yao, moja limeandikwa "Kikwete acha uonga, maisha bora kwa kila mtz"
 
[h=5]CHAMA CHA MAPINDUZI "Tupo Imara sana na tunasonga mbele,Watapambana kadri ya uwezo wao kufanya nchi isitawalike,CCM TUNASEMA HAWATASHINDA,NCHI ITATAWALIKA,Tumejipanga kuwatumikia Watanzania kwa Amani na Utulivu"[/h]




cheki tena hili jasusi la kimataifa,,,,, we unatakiwa awe kule alsh bab
 
Ccm imeweza na sasa inazidi kusonga mbelee watumikieni vyema waliowachagua.
 
hapana sita mmwagia sumu wala nini, lakini kushiriki kwa namna yoyote kutoa roho ya mtu si sawa, atamuhukumu aliye mleta duniani, mimi ni kusikitika tu na kuomba kwa Mungu, tuwe mashabiki lakini kuto roho ya mtu hapana, wazia kama watoto, ndugu au wazazi wako unakuta wame kufa kwasababu wamekwenda kewnye mkutano wa chama usicho kipenda, hapana tusipoteze ubinadamu wetu kwasababu ya ujinga wa uvyama ambavyo tusitake tutake vitakufa tu!
Kwa chacha wangwe na grace mbowe hujui aliyefanya hii kazi kuwa ni haohao mashoga zako mkuu.
 
Kwa chacha wangwe na grace mbowe hujui aliyefanya hii kazi kuwa ni haohao mashoga zako mkuu.
kabla ya kuendelea na mjadala kama hiyo ni picha yako hapo juu ni fall in love unavutia sana.. Okay! inawezekana lakini ninachosema kama ni mashoga zangu sawa lakini sijali nani kafanya, mtu yeyote anaye shiriki kuua kwa tamaa ya kisiasa huyo ni adui yangu... lakin jambo la kujiuli serikal kwali ni dhaifu kushindwa kushughurikia, hii ndiyo inaonesha moja kwa moja serikali yetu inamatatizo na inahusika ndiyo maana wana baki kuwa bambikizia watu wema kesi za kigaidi, think about that ...picha yako imenivutia sana!
 
Kila anaewaza jinsi gani awaibie wtz kwanza ccm siku zenu zinahesabika.
 
Mi wanyalu siwaamini kabisa. Ni manazi ya ccm - ona uchaguzi wa madiwani majuzi (16/6) wilayani kilolo kata ya ng'ang'awe wamewapa maccm kura 686 na cdm ikaambulia kura 217.
Fanya utafiti kabla kuja humu jf

Huwezi kufanya utafiti kwa takwimu za zamani, huo uchaguzi ulitumia daftari la wapiga kura la mwaka 2005 wakati leo tupo mwaka 2015
 
ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.
pombe zingine ni matatizo tu, nawewe umeamkia kilabu gani? chimpum noma
 
ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.

Tatizo linaloikumba ccm ni mgawanyiko. CCM imekuwa na mfumo kama wa ndugu zetu waislamu (samahani kwa nitakaowakwaza). Mfano ktk uislamu ni kawaida shehe wa msikiti kujitangazia maamuzi bila kuhusisha uongozi wa juu wa waislamu. Ndivyo ilivyo ccm kwa sasa. Leo nape anaweza sema hivi then kesho mwenyekiti wake naye akaibuka na hoja tofauti na ile ya mwenyekiti, halafu hakuna kukaa tena kukubaliana msimamo ni upi hivyo unajikuta ni ovyo ovyo tu kama ilivyo ktk hii dini njema ya kiislamu. Na itakuwa ngumu sana kwa ccm kama hawatapata mtu wa kuwa "kiongozi" mwenye maamuzi.
 
huyu kenge nikimuona nasikia kichefu chefu yani ukiangalia ni kama mashine ya kutolea roho za watu wasio na hatia, arusha wameua mpaka watoto wadogo...Mungu ataiacha hii dhambi ipite hivhivi? hapana kila mtu atalipa kwa aliyo fanya, unaweza kudhani uko salama maana mahakama iko chini yako lakini Mungu hayuko chni yako, na wakati umekaribia damu uliyo imwaga itakutokea puani, sipendi kabisda watu wenye tamaa ya uongozi mpaka kumwaga damu, laana na iwe juu yao!

Naunga mkono hoja yako Wile Gamba
 
Back
Top Bottom