CCM ina uhakika wa kuingiza zaidi ya Bilioni 20 kupitia gharama za fomu kwa wagombea Ubunge

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Tanzania ina Wabunge zaidi ya 367.

Watu 5,000 wakichukua fomu za Ubunge maana ake CCM itapata Shs. 5,000 x 400 x 100,000 = 20,000,000,0000 ( Billion 20 )

Udiwani : Tuna Halmashauri 187

Assume madiwani 10 kila kata.

Pesa = 10,000 x 10 x 187=18,700,000

Chama kina pesa.
 
1594751866027.png

Wabunge wa majimbo ni 264 na kwa Takwimu za sasa kila jimbo watia nia ni zaidi ya 20 so chukua {264x20=5280} Jumuisha viti maalumu 113 hapa assume kuwa kwa kilakiti kimoja walishindana 7 ambao ni namba ndogo so inakuwa {113x7=791} chukua (watu 5280+791=6071X100,000.00= 607,100,000
 
Mkuu unafahamu gharama za hizo form? Au walipewa sadakarawe? Je, gharama nyingine nani analipa?
 
Sawa lakini pesa zao mkichukua mtende haki vinginevyo hiyo pesa inaweza geuza kijani kuwa damu
 
Back
Top Bottom