CCM ina serikali sikivu

Huwezi kuyaona Mr Rocky,huenda hauishi TZ na kama unaishi hapa utayaona na utayafahamu hayo niliojaribu kuwashirikisha wana JF.
Ambacho huelewi ni nini,au nawe ni sehemu ya matatizo?kila kukicha serikali yetu sikivu inatutendea mema,houni?
 
Mkuu yote hayo ni majibu ya siku zote nami najaribu kuanika kile tunachohubiriwa siku zote ila kama hujanielewa soma kwa uangalifu kisha utafakari,sina haja ya kutafuta umaarufu
 
Its good article, if you want to understand it , read it in negative ways, i hope that is what writer wants to present, if its other way, he should be wrong.
 
Huwezi kuyaona Mr Rocky,huenda hauishi TZ na kama unaishi hapa utayaona na utayafahamu hayo niliojaribu kuwashirikisha wana JF.
Ambacho huelewi ni nini,au nawe ni sehemu ya matatizo?kila kukicha serikali yetu sikivu inatutendea mema,houni?

'Kweli nayaona na hongera sana kwa uchambuzi wako
Umejitahidi sana kujieleza na kuelez auzuri wa mkakasi ambao ndani ni kipande cha mti

Kwa hapo nakupongeza sana umejitahidi sana
 
Nilikuwa napata shida sana kuelewa kauli za pinda bungeni kuwa serikali ni sikivu.baada ya kubangua bongo sana nimeelewa kumbe maana yake inasikia tu tena kwa umakini mkubwa ila haina uwezo wa kushugulikia.
 
Wabunge wa chama cha mafisadi kimechangia kwa asilimia kubwa kwenye maamuz yaliyofanywa na serikal kwa kupuuza saut ya uma napendekeza chama changu kizunguke nch nzima kuelezea unafik huu wa CCM au Chama kitafute saini milioni 8 kwa watanzania wote tuweze kumwajibisha mfujaj wa kod zetu za anayetaka kujitafutia umaarufu wa kijinga JK.
 
Naomba great Thinker mnifafanulie kauli ya serikali sikivu mtoto wa fisadi na Mkwe....re wanamaanisha nini?

Hivi kelele zote za wawakilishi ndani ya mjengo ni za kina nani?

Au kuna mapepo kwa kuwa yanasumbua zaidi magigoni yanasikilizwa zaidi kuliko sisi binadamu
 
Back
Top Bottom