CCM imeshindwa kutawala nchi , nchi imeyumba sana. Lema

Hivi Lema anajua nini kuhusu nchi hii zaidi ya kujua mipango ya w**i wa magari. Si mwanasiasa huyu ni mlopokaji tu na mtaalamu wa unyang'anyi.

naona mapovu yamezidi mdomo anglia yasianzekutokea kwenye masaburi
 
Mahali nchi ilipofikia inahitaji wana mapinduzi ili kuiokoa isije ikawa kama libya na misri

unajua mtu asiye na uhakika wa chakula na mahali pa kulala anaweza kufanya jambo lolote lile na wakati wowte ule kwani hana kitu cha kupoteza

haya cdm tusaidieni kuyaondoa haya magamba

kila la heri cdm
 
nilitaka kukujibu kwa ukali lakini nimegundua wala hauko Arusha na wala wewe si mfatiliaji wa mambo ya siasa pamoja na kwamba umejiita mpiga kura wake inaelekea hujui alichokifanya mbuge wako.....kama ni tamko la hizo posha alisha toa na liliwekwa hapa jamvini kuhusiana na hoja nikuulize je unataarifa kuwa General tyre inaanza ku-operate karibuni maana ilitakiwa kuanza tangu Jan 17 basi ujue ni juhudi za mbunge wako kama unavyo taka kusomeka.....

Eti ulitaka kunijibu kwa ukali.......... Unajua samaki akianza kuoza huanzia kichwani sasa usinipe nafasi ya kukufananisha na Samaki hiyo ni moja la pili unajaribu kujenga hoja eti sipo Arusha duhh kweli unafanana na hilo jina unalojiita na mwisho siasa uzijuazo wewe sizo nizijuazo mimi manake kabla sijasema natafiti ili niwe na uhalali wa kisera na kimantiki pale ninapotaka kutoa jambo ona sasa eti your trying to manipulate about General Tyre hivi kweli umefanya uchunguzi wa kina au umekuja kilevi japo hilo suala bado na si kama wewe na wenzio mlivyodanganywa ila ktk hilo labda ungemtaja Zuberi Zitto ningekuelewa lakini huyo wa kwako kamuulize yeye unafikiri hajui?? Anafahamu vyema

Atakachoshikilia ni kusomesha wanafunzi kuanzia Daraja 2, Sokon 1, n.k jambo ambalo Vicky Kamata kalifanya mara 20 zaidi yake pamoja na Wabunge wengine ukimnaga sana atasema Ambulace na Tractor haya ambayo binafsi namshukuru Mzee Ndesa kwa msaada wake huo mkubwa haya mengine makubwa eroo katu huyo mwenzio hatathubutu kuyaweka kwa hadhara eti General Tyre are serious...... Halafu umegusa panaponihusu sana! Narudia tena kama hujatafiti hutalaumiwa ukikaa kimya utajiepusha tu kuonekana Mpumbavu usiyejua juu wala chini!

Pole
 
Back
Top Bottom