CCM imeparaganyika, hofu imetanda ndani yao

Tutaona huko mbele ukweli wa haya madai.
 
Ufalme umefitinika
 
Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???

Hizi porojo bhana
Hivyo vyeo vya akina migiro ni geresha chama ni cha mwenyekiti

Swali
je anaoUwezo wa kukinusuru,anashaurika na kusikiliza ushauri wa wenye akili hapo chamani? Au anasikiliza ushauri wa machawa na vilaza
 
Hofu imetanda nipo Lumumba hapa watu hawanywi majinya dispenser
 

Mauaji ya wazalendo waliouawa pasipo na hatia inawavuruga.
 
Kikufe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…