CCM imejivua gamba ili kupambana na upinzani au kumkomboa mtanzania??!

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
naona sasa vita vya hao wanaojiita kwamba wamejivua gamba vimekuwa ni kupambana na upinzani zaidi kuliko kutatua matatizo mengi ya umaskini wa tanzania. Imagine...watanzania wanavyopata shida na ufisadi, umaskini, na njaa. sasa nakuja watu wanasema wamejivua gamba, lakini hamna majibu yoyoye ya namna ya kusadia hali hii. Ninavyojua mimi kazi ya vyama vya upinzani ni kuikosoa serikali iliyo madarakani. Kazi ya chama kilichopo madarakani ni kutoka majibu ya matatizo yanayolalamikiwa (majibu), yanayaoikabili nchi. Mbona CCM inakua tena kama chama cha upinzani?? hawajui role yao?

Mfano, nape atupe mkakati wa kuwapatia vijana wengi ajira wa muda mfupi na muda mrefu. mbona vinakua vita vya maneno. CCM show us as solutions.
 
hawa hata hawajui kazi yao hasa ni nini! Ogopa baba akisahau majukumu yake. Familia inatetereka sana. Tz kwa sasa ni km nyumba yenye baba asiyejua majukumu yake

Wanajarbu jaribu kupambana na CDM, tusubiri labda wataweza.
 
Back
Top Bottom