Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Habari za uhakika nilizopata kwa jamaa aliyekariibu na mtandao wa CCM anasema CCM imejiandaa kupora ushindi wa Chadema huko Igunga. Njia watakazotumia kupora ushindi ni pamoja na kuingiza kura feki au kulazimisha kutangaza ushindi wa CCM.
Matayarisho ya uporaji uporaji huo wa ushindi wa Chadema unaenda sambamba na kupeleka makamamnda wa polisi huko Igunga pamoja na maafisa usalama wa taifa ambao anawaita ni makada wa CCM wala si usalama wa Taifa. Sijui ni kwa namna gani Chadema watazuia uporaji huo. Anasema kama Chadema hawatagangamaa kama watu wa Mwanza na Arusha kwa hakika ni lazima CCM itapora ushindi huo.
Ninahisi harufu mbaya huko igunga na Mungu awalinde Chadema na watu wa Igunga dhidi ya dhuluma zilizopangwa na CCM, kupora ushindi wa chadema.
Usiwe na wasiwasi Chadema imeshashinda Igunga inasubiri siku ya kutangazwa.

Maji shingoni pwaaaaaaaaa!

Endeleeni mnafaa sana kuwa kwenye complain corner..bado wananchi wanajua wahuni hawawezi leta maendeleo...
Kama kina Nchemba wametia aibu sana chama letu.Mtaambulia aibu na fedheha na baadhi ya wahuni waliompiga mkuu wa wilaya watakuwa na kesi ya kujibu kwa mujibu sheria halali za nchi.
Habari za uhakika nilizopata kwa jamaa aliyekariibu na mtandao wa CCM anasema CCM imejiandaa kupora ushindi wa Chadema huko Igunga. Njia watakazotumia kupora ushindi ni pamoja na kuingiza kura feki au kulazimisha kutangaza ushindi wa CCM.
Matayarisho ya uporaji uporaji huo wa ushindi wa Chadema unaenda sambamba na kupeleka makamamnda wa polisi huko Igunga pamoja na maafisa usalama wa taifa ambao anawaita ni makada wa CCM wala si usalama wa Taifa. Sijui ni kwa namna gani Chadema watazuia uporaji huo. Anasema kama Chadema hawatagangamaa kama watu wa Mwanza na Arusha kwa hakika ni lazima CCM itapora ushindi huo.
Ninahisi harufu mbaya huko igunga na Mungu awalinde Chadema na watu wa Igunga dhidi ya dhuluma zilizopangwa na CCM, kupora ushindi wa chadema.
Kama kina Nchemba wametia aibu sana chama letu.
CHADEMA WAKIPORWA USHINDI IGUNGA, YA TUNISIA HUENDA YAKATANDA KOTE NCHINI
Baada ya Jakaya Kikwete kupora kura za CHADEMA hapo Oktoba 2010 na kulitia aibu ya mwaka taifa letu kote duniani, hivi sasa kukitokea wizi wowote wa kura CCM kitakua kimekililizia kiongozi wake huyo mkaa wa moto ndani na nje ya nchi kwa wakati mmoja.
Yale ya Tunisia yalianza na maonevu kwa muuza mchicha Kamanda wa vijana wote duniani, Ustaadh Mohammed Bouzizi, lakini kung'olewa kwa serikali ya Kikwete madarakani huenda ukarahisishwa zaidi kwa kuthubutu kwao kupora ushindi wa CHADEMA hapo Igunga.
Mbali na CCM kumhonga Prof Lipumba nafasi ya kazi ya kuunga unga kule UN ili CUF kiunge mkono CCM kule Igunga, ni wazi kwamba wapiga kura pale hawataki tena kitu harufu ya CCM baada ya kuwabakia mke wao wa ndoa.

Mtaambulia aibu na fedheha na baadhi ya wahuni waliompiga mkuu wa wilaya watakuwa na kesi ya kujibu kwa mujibu sheria halali za nchi.

Nahisi kuna kuna baadhi ya watu wanahongwa kutetea upumbavu bila kujali maslahi ya taifa. Nina mashaka na wanachama wa JK mlioko JF. Sijui nini hasa kinacho wafanya kutetea wakandamizaji wa wanyonge.....
Ninathibisha rasmi madai haya!
Wale vijana maalu wa kijito nyama waliofanikisha mkuu wa kaya kurudi magogoni, wamepewa tena tenda ya kulinda jimbo la Igunga kwa ghalama yoyote!
Kikao cha mikakati hiyo baada ya kupewa
tenda hiyo na ccm kilifanyika ktk
kiunga DF12 cha pale kijitonyama juzi saa
tatu usiku chini ya Msekwa,DD5,DD14,Mkama,Wasira na January Makamba
Tatizo lililopo ni baadhi ya vijana kuonyesha dalili za kupinga dili hili chafu!
Nilihudhuria kikao hicho kwa shingo upande lakini na wahakikishishia kuwa nitatumia uwezo wangu wote kuharibu mpango huu mchafu dhidi ya demokrasia!
Nitawajuza kila kinachoendelea juu ya Igunga!

mnajifariji sana chademu poleni wajameni