CCM imefanya vizuri mikoa yenye wengi wasio na Elimu, napongeza strategists wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imefanya vizuri mikoa yenye wengi wasio na Elimu, napongeza strategists wao

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bongolander, Nov 3, 2010.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Wakuu ni lazima niwasifu sana strategists wa CCM. Unajua siku zote ukipambana na adui aanza kwanza kupiga kwenye weak points the nenda kwenye zile zenye nguvu. CCM waliona mbali sana kwa hilo na waliwekeza zaidi kwenye kampnei yao katika maeneo hayo. Kuna watu Tanzania mpaka leo hawajui EPA hawajui maana ya mafisadi na hwajui lolote. Naona tatizo ni kuwa Chadema walitegemea zaidi kwenye mikoa ambayo ina watu wengi wenye elimu na wenye hali ahueni kiuchumi. Inawezekana sasa watakuwa wamepata somo, sio Chadema tu opposition wote inabidi wajifunze kutoka kwa CCM.

  hata Dar es salaam ukiangalia kwenye wilaya, maeneo na sehemu zenye watu wengi waliochoka utagundua kuwa CCM imefanya vizuri lakini kwenye sehemu ambazo kuna wenye elimu kidogo na wenye uwezo wa kiuchumi kidogo kuna tatizo. Siku nyingine ukitokea uchaguzi ni lazima vyama viige mbinu ya CCM


  Bahati mbaya Malaria sungu alituficha siri hii. sasa nasubiri malaria sugu aje na kuanza kushusha madongo yake.
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135

  haha mkuu malaria Sugu kwanza lazima ni kupongeze kwa ushindi. Ukiweza kuja magomeni naweza kukupa moja baridi. Nilichosema ni kuwa wametumia stratetegy ya kuweka nguvu kwenye weak points. Ni kweli ukiangalia Dar es sala kwenye maeneo ambayo watu wamechoka zaidi ndiko wamevuna zaidi. Hakuna issue ya dini wala kitu kama hicho. Hata vijijini si wote hawana elimu kuna waliolemikia vijijini. Sizungumzii elimu ya darasni au elimu ya vidato, nazungumzia elimu ya kujua nini kinaendelea Tanzania. Si wakristo wote wamesoma, na si waisilamu wote wamesoma, na si wakazi wa Dar wote waliosoma.

  Una hakika Chadema haina mgombea mwislamu hata mmoja, una hakika CUF haina mgombea mkristo. Udini ulikuwepo kwenye kampeni za sasa, lakini sio kwa saaana kama inavyotajwa. CCM ndio walijaribu kutumia karata ya udini.

  Mkuu kampeni zimepita sasa, CCM imeshinda, na wewe ulitabiri hivyo.
   
 3. q

  quantam No New Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa wapi wewe? ur a real great thinker.Angalia,Pwani, Iringa,Singida,Dodoma,Morogoro hii mikoa bwana watu wanauka umasikini ,mlo mmoja kwa siku elimu iko chini . Nawashangaa wabunge wao wanapita bila kupingwa,Kikwete anapita kwa zaidi ya asilimia 70. Labada watu wa mijini ndo wameanza kidogo. Tunahitaji kufanya juhudi kuwakumbuka wa Tz.Wanaharakati tuanze mpango maalumu wa kuwaokoa wananchi hawa.
   
 4. I

  Ibnabdillahi Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vip je mgombea MWENZA wa Slaa ni wa CCM?
   
 5. Marunda

  Marunda Senior Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inavyoonekana wee malaria sugu una matatizo kwenye ufahamu wako, Mbona unapenda kuongelea mambo ya udini sana kwenye siasa za Tanzania. Huna hoja za msingi kabisa. Your Thinking is limited!!!

  Unahitaji ushauri nasaha ili ufanane na watu wenye kufukiri mbali zaidi. Tanzania hakuna udini unauongelea, CCM ndio wanaendeleza udini pamoja na wewe.
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kigoma
   
 7. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Kujifunza kutoka CCM siyo kuwasaidia Watanzania bali kuwaendeleza katika umaskini, ujinga na maradhi - huu ndio mtaji mkuu wa CCM. Ndiyo maana kwa CCM mabadiliko (kuondokana na umaskini, ujinga na maradhi) haiwezekani bali kuendelea kuishi katika maisha duni na kuwachagua CCM. Mkakati wa vyama shindani ni kuwaelemisha wananchi ili waone wapi wametoka, wapi walipo na wapi wanakokwenda.

  Wananchi wameanza kuwaelewa. Step ya pili ni pamoja na hawa wenye uelewa kusaidia kuwaelimisha wnaoshindwa kuelewa vizuri. Baadhi ya sehemu za vijijini pia wameanza kuamka. Mfano mzuri ni jimbo la Ukerewe, Mwanza. Tangu dunia kuumbwa walikuwa wana CCM lakini mwaka huu wameamua kukipa Chadema ushindi ili wapate mabadiliko ya kweli maana hali ya maisha ya wananchi wa Ukerewe ni duni sana.

  Yaani, hali hiyo imekuwa mtaji mkuu wa CCM. Unakumbuka wakati ule wa 'documentary ya mapanki' na serikali kukanusha kuwa hakuna wanaokula mapanki? Ukerewe ni mojawapo. Nenda Ukerewe vijijini ujionee umaskini wa wananchi na ulinganishe na muda ambao wamekuwa wakikipa kura za ushindi CCM! CCM kinajua watu wakielimika au kuondokana na umaskini watakihama. Huu ndio mtaji wao!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwacheni jameni kibaraka wa cuf na ccm, Ooopss nimesahau na Al annur
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  we unaongea nini? Kha! Huo uchakachuaji huusikii? Umeanza vizuri then ukaharibu
   
 10. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  siungi mkono hoja yako nataka ufahamu kwamba hayo maeneo chadema waliyoshinda mfano ubungo,kawe,iringa mjini,arusha mjini si kwamba chadema wanapendwa kihivyo bali tu ni watu wamepiga kura za chuki!hata jk amepata kura za ushindi maeneo hayohayo waliopita wabunge wa chadema.
   
 11. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135

  Mkuu umenipata vizuri. Lakini ni lazima tuanze kuchambua weaknesses za jamii yetu. Ni lazima ujiulize kwanini mtumwa na mfungwa anajiassociate na master wake? hapa maana yake ni kuwa kuna tatizo. Naona mwenzetu Malaria Sugu bado anaendeleza kampeni. MImi nimempongeza kwa ushindi wake, lakini yeye analeta zile za kampeni, kitu ambacho naona hakisaidii. CCM IMESHINDA THIS IS A FACT. sasa tuangalie imeshinda vipi? what were messages? what were promises? who lied and who fooled who?

  Siku zote unepokuwa kwenye vita unajitahidi kutumia kila mbinu kupata ushindi, nimesema mbinu ya CCM kupiga kwenye weakness, yaani kuwatumia wasioelewa nini kinafanyika Tanzania kuwapigia kura kwa wingi. No doubt kuwa msingi wa CCM kwa sasa sio sera, maana kinachosemwa na kinachofanywa ni vitu viwili tofauti, kama ni ahadi kila mtu anaweza kutoa. Issue hapa base ya chama.
  Dini si base, Kigoma ni moa wenye waislamu wengi na wengi wamepigia CHADEMA, Lindi ni base ya CUF kwa kuwa sera zao zinaonekana kuwafaa watu wa huko, sio suala la dini wala kabila.
   
 12. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Sawa mkuu nakubaliana na kutoniunga mkono. Wamepiga kura ya chuki kwa sababu wanajua nini wamefanyiwa, hiyo ndio elimu yenyewe. Huwezi kumchukia mtu bila sababu. Kama ni chuki waislamu na wakristo wote wamefanyiwa ubaya, kwa hiyo wote wanweza kupiga kura kwa chuki. Pamoja na kuwa hauungi mkono hoja yangu lakini nadhani tunakubaliana kwenye hili la watu kufanya ubaya ndio kumewafanya wachukie, na hiyo ndio elimu yenyewe.
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu hata uchakachuaji ufanyike vipi watu wakiamua wameamua tu. Nguruwe ni nguruwe tu, hata ukipamba midomo yake hatabadilika. Watu wamesema kuwa hawafurahishwi na status quo, hata ukiiba kura kiasi gani feeling za watu haziwezi kubadilika. Hatua huwa inapigwa moja moja, CHADEMA na CUF wameonesha kuwa inawezekana.
   
 14. inols

  inols JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  It's CCM strategy ever since it came up with the plan of shule za kata, that waz to make all tanzanians fools by calling themselves they have secondary education yet it can't help them in tackling challenges that life throws at them. It's real sad when you look at how our education system is collapsing day in and day out, very few students can think straight, reason soundly and make strong arguments which are sound and sensible. I think "malaria sugu" is one of good example of the victim of CCM strategy-shule za kata. Once again i say CCM should be purged and their memory be deleted forever with only the living memory of our founding father of the nation J.K. Nyerere and few leaders who used the public offices for public profit.
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  Na sisiem imeamua kutumia sera ya udini kwenye kampeni zao ili kupata kura zenu baada ya kuona inazidiwa nguvu. Amkeni!!!
   
 16. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MANENO YA WAKOSAJI! Teh teh teh!!!!!

  Jamani sherehe za kuapishwa Silaa ni lini na wapi? Teh teh teh!!!!!
   
 17. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That makes you kibaraka wa Chadema na MwanaHalisi... oooopppsss nimesahau na Mwongozo wa Kanisa na elimu ya kupiga kura! Teh teh teh! :smile-big:
   
 18. T

  Thesi JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naweza kukubaliana na wewe kidogo lakin pia kuna mikoa kama Kigoma alikochukua Zito lile jimbo ni Waislamu wengi.
  Hata hivo ujue si kosa la CHADEMA au kwamba inawaangalia Wakristo tu lakini ni kuwa wapinzani wa CHADEMA hasa CCM wamefanya jambo baya sana kwa taifa letu kwa kutumia tiketi ya udini kuimaliza CHADEMA huku wakijua fika kuwa si kweli ila propaganda yao tu ya Kampeni. Vipi CHADEMA wangejibu kwa kuanisha mambo yanayoendelea sasa hivi hat kampeni za CCM zinazoongozwa na waislamu kwa wakristo?
  Ukweli ni kuwa uislamu unamfanya mtu asikilize na kutekeleza maoni ya viongozi wao pasipo kutafakari kwa makini hasa ikiwa wameambiwa maoni hayo yatatishia maslahi ya dini yao. Kote dunia ya uislamu viongozi uchwara ambao ndio waliojaa katika ulimwengu huo wamewaaminisha kuwa mtu yeyote asiyekuwa mwislamu ni hatari kwake. Hii ndio karata iliyotumiwa kuwafanya waislamu waichukie CHADEMA. Kwao bora kiongozi awe fisadi, mwizi na wa hovyo kiutawala ila tu awaimbie uislamu kwenye maskio yao.
  Hukuona karibuni kabla ya uchaguzi walivokutana wapo waliosuggest waislamu wamchgue Kikwete au Lipumba? Ila kwa wakristo hata pasta awaimbie kwamba mchague Lowassa. Hawatamchagua kwa kuwa ni mkristo ila watatafakari ujumbe ukweli kama wampigie kwa mwenendo wake na si ukristo japokuwa wapo pia wajinga wachache watakaotumia karata ya udini. Huo ndio ukweli wa mambo.


   
 19. f

  furahi JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Bongolander naomba nikusahihishe. CCM imeshinda its TRUE, but not FACT
   
 20. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hata mimi nina hamu ya kuhudhuria sherehe hiyo ya wana j.f wenzetu wa chadema ambao wamechakachua hadi jamii forum imekuwa ya kichadema na hata ukimsifia silaa uwongo una pewa mi thanx ya kumwaga!
   
Loading...