GE2025 CCM imefanya maendeleo makubwa hatuwezi kuiondoa madarakani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud Said amesema hawawezi kuungana kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani kwa sababu maendeleo yaliyofanya na CCM ni makubwa.

🗣"ni kwamba niliandaa mimi mwenye binafsi utaratibu wa kuhakikisha vyama vinaungana ili kuelekeza namna ya kuweza kuindoa CCM madarakani lakini jambo hilo limeshindikana kwa sababu vyama vimeamini kwamba yaliyofanywa ni maendeleo makubwa na kwa maana hiyo wamekataa kuungana kwa kuthamini maendeleo yaliyopo"

🗣"sasa na mimi sina budi nielekee hapo kwamba maendeleo yaliyopo ni makubwa na aliyefanya bado ana uwezo wa kufanya sasa hakuna haja tena ya kuendelea kuwa na mivutano ya kisiasa na hatimaye kufikisha nchi hii pabaya kwa mazingira tu ya kutafuta madaraka" Amesema Said Soud
 
Alisikika mlevi mmoja akilalama hii ni baada ya kulevywa na buku saba za kila cku!!
 
Back
Top Bottom