Yaani Mungu mwache aitwe Mungu,Shida ni kifo hakina chaguzi la kundi humpata yoyote!Magenge ya vita vya madaraka
Magenge ya kazi chafu
Magenge ya kuteka
Magenge ya kuua
Magenge ya kutakatisha pesa
Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika
Magenge ya upigaji pesa kwenye miradi ya kubuni nknk
Hii sio tena ile ccm ya wakulima na wafanyakazi..
Hii sio tena ile ccm ya ujamaa na kujitegemea
Hii ni ccm mateka wa hayo makundi tajwa hapo juu
Makundi haya hayajaota kaka uyoga bali yana asili ya 2005 kuelekea 2010 .. Pale walipoanza kujitokeza watu waliounda mitandao ya kusimika watu wao ilk baadae waje wawafae kwenye nafasi za juu za uongozi
Vikundi hivyo viliendelea kuimarika kimtandao na baadae kuingia hatua nuhimu ya kujiimarisha kiuchumi kupitia pesa haramu za rushwa, 10% mauzo ya rasilimali nknk
Makundi haya hubadilika kama vinyonga kulingana na upepo wa madaraka ya kisiasa.. Mwaka 2015- 2020... Yalijificha kama kirusi cha ukimwi na kufanikiwa kujipenyeza na kumzunguka aliyeshika kijiti kipindi hicho...
Hapo walimfundisha mbinu za kujiimarisha kiuchumi... Kuwa na mtandao wa kutoa taarifa na kuwa na mtandao wa kuwamaliza wote waliinokena tishio
Baada ya mabadiliko kwa kudra za Mola, makundi hayo yakajivua gamba na kuanza kutenda kwa uwazi bila woga bila hofu bila fadhaa!
Hapa tulipo ccm imefikishwa kwenye kilele cha umafia.. Ni mwendo wa kuwindana na kutegeana... Anayenaswa/sa anagugumia kimya kisha wenzake wanajipanga upya kulipa kisasi
Nimemaliza
CCM is a cartel of politics......In the context of politics, the term "cartels" typically refers to groups or networks of individuals, often within a political system or government, who collude to manipulate power and resources for their mutual benefit, sometimes at the expense of the public good. This can involve various forms of corruption, like bribery, embezzlement, or rigging elections. johnthebaptistMagenge ya vita vya madaraka
Magenge ya kazi chafu
Magenge ya kuteka
Magenge ya kuua
Magenge ya kutakatisha pesa
Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika
Magenge ya upigaji pesa kwenye miradi ya kubuni nknk
Hii sio tena ile ccm ya wakulima na wafanyakazi..
Hii sio tena ile ccm ya ujamaa na kujitegemea
Hii ni ccm mateka wa hayo makundi tajwa hapo juu
Makundi haya hayajaota kaka uyoga bali yana asili ya 2005 kuelekea 2010 .. Pale walipoanza kujitokeza watu waliounda mitandao ya kusimika watu wao ilk baadae waje wawafae kwenye nafasi za juu za uongozi
Vikundi hivyo viliendelea kuimarika kimtandao na baadae kuingia hatua nuhimu ya kujiimarisha kiuchumi kupitia pesa haramu za rushwa, 10% mauzo ya rasilimali nknk
Makundi haya hubadilika kama vinyonga kulingana na upepo wa madaraka ya kisiasa.. Mwaka 2015- 2020... Yalijificha kama kirusi cha ukimwi na kufanikiwa kujipenyeza na kumzunguka aliyeshika kijiti kipindi hicho...
Hapo walimfundisha mbinu za kujiimarisha kiuchumi... Kuwa na mtandao wa kutoa taarifa na kuwa na mtandao wa kuwamaliza wote waliinokena tishio
Baada ya mabadiliko kwa kudra za Mola, makundi hayo yakajivua gamba na kuanza kutenda kwa uwazi bila woga bila hofu bila fadhaa!
Hapa tulipo ccm imefikishwa kwenye kilele cha umafia.. Ni mwendo wa kuwindana na kutegeana... Anayenaswa/sa anagugumia kimya kisha wenzake wanajipanga upya kulipa kisasi
Nimemaliza
Jo hajui kiingereza brotherπππCCM is a cartel of politics......In the context of politics, the term "cartels" typically refers to groups or networks of individuals, often within a political system or government, who collude to manipulate power and resources for their mutual benefit, sometimes at the expense of the public good. This can involve various forms of corruption, like bribery, embezzlement, or rigging elections. johnthebaptist
Magenge ya vita vya madaraka
Magenge ya kazi chafu
Magenge ya kuteka
Magenge ya kuua
Magenge ya kutakatisha pesa
Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika
Magenge ya upigaji pesa kwenye miradi ya kubuni nknk
Hii sio tena ile ccm ya wakulima na wafanyakazi..
Hii sio tena ile ccm ya ujamaa na kujitegemea
Hii ni ccm mateka wa hayo makundi tajwa hapo juu
Makundi haya hayajaota kaka uyoga bali yana asili ya 2005 kuelekea 2010 .. Pale walipoanza kujitokeza watu waliounda mitandao ya kusimika watu wao ilk baadae waje wawafae kwenye nafasi za juu za uongozi
Vikundi hivyo viliendelea kuimarika kimtandao na baadae kuingia hatua nuhimu ya kujiimarisha kiuchumi kupitia pesa haramu za rushwa, 10% mauzo ya rasilimali nknk
Makundi haya hubadilika kama vinyonga kulingana na upepo wa madaraka ya kisiasa.. Mwaka 2015- 2020... Yalijificha kama kirusi cha ukimwi na kufanikiwa kujipenyeza na kumzunguka aliyeshika kijiti kipindi hicho...
Hapo walimfundisha mbinu za kujiimarisha kiuchumi... Kuwa na mtandao wa kutoa taarifa na kuwa na mtandao wa kuwamaliza wote waliinokena tishio
Baada ya mabadiliko kwa kudra za Mola, makundi hayo yakajivua gamba na kuanza kutenda kwa uwazi bila woga bila hofu bila fadhaa!
Hapa tulipo ccm imefikishwa kwenye kilele cha umafia.. Ni mwendo wa kuwindana na kutegeana... Anayenaswa/sa anagugumia kimya kisha wenzake wanajipanga upya kulipa kisasi
Nimemaliza
Mtia nia Ubunge kupitia CCM , Jimbo la Moshi Mjini ni Shoga, Kamati Kuu ya CCM Taifa,pitisheni Jina lake Ili awe mgombea ubunge 2025.
Mtia Nia Ubunge kupitia CCM, Jimbo la Moshi Mjini: Changamoto na Maswali ya Maadili Mjadala kuhusu kuteuliwa kwa mtia nia ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Moshi Mjini umesababisha hisia mchanganyiko miongoni mwa wanajamii. Kiongozi huyu, ambaye amekuwa akilaumiwa kwa...www.jamiiforums.com
JK atakufa lini?Kuna Mstaafu ana tamaa kuliko Shetani, yaani jamaa anataka kumiliki kila kitu!
Imagine kwenye hii miradi ya kutunga wamepiga bei ganiView attachment 3420273
π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏCCM is a cartel of politics......In the context of politics, the term "cartels" typically refers to groups or networks of individuals, often within a political system or government, who collude to manipulate power and resources for their mutual benefit, sometimes at the expense of the public good. This can involve various forms of corruption, like bribery, embezzlement, or rigging elections. johnthebaptist
View attachment 3420271
Hiki hiki cha kunywea mbege kama cha Mnyika kinanitosha bwashee ππJo hajui kiingereza brotherπππ