Ng'wamapalala JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 6,811 Reaction score 6,507 Aug 23, 2015 Thread starter #81 Mwanapropaganda said: Hapo uliposema shetani mzee na kijana nakubaliana na wewe, kweli wale tunaoangalia sera tupo mjia panda, ukitazama kila pande hakuna nafuu huku mabadiliko tukiyataka japo hatuoni kutuwakilisha kwenye mabadiliko hayo. Click to expand... Mkuu, Hii ndiyo dilemma nadhani inawakabili wapiga kura wengi katika uchaguzi huu.
Mwanapropaganda said: Hapo uliposema shetani mzee na kijana nakubaliana na wewe, kweli wale tunaoangalia sera tupo mjia panda, ukitazama kila pande hakuna nafuu huku mabadiliko tukiyataka japo hatuoni kutuwakilisha kwenye mabadiliko hayo. Click to expand... Mkuu, Hii ndiyo dilemma nadhani inawakabili wapiga kura wengi katika uchaguzi huu.
Ng'wamapalala JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 6,811 Reaction score 6,507 Aug 23, 2015 Thread starter #82 kichwa kikubwa said: kweli kabisa, weng watakupuuza lakini uchambuzi wako makin ndo shime ya ukweli. Click to expand... Mkuu, Katika dunia hii ambayo pia kuna wapumbavu, siyo ajabu kupuuzwa. Kinachosimama kwenye ukweli ni hoja na sio kelele. Wahenga walisema, kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.
kichwa kikubwa said: kweli kabisa, weng watakupuuza lakini uchambuzi wako makin ndo shime ya ukweli. Click to expand... Mkuu, Katika dunia hii ambayo pia kuna wapumbavu, siyo ajabu kupuuzwa. Kinachosimama kwenye ukweli ni hoja na sio kelele. Wahenga walisema, kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.