CCM ilioza, CHADEMA/UKAWA inaoza!

CCM ilioza, CHADEMA/UKAWA inaoza!

Hapo uliposema shetani mzee na kijana nakubaliana na wewe, kweli wale tunaoangalia sera tupo mjia panda, ukitazama kila pande hakuna nafuu huku mabadiliko tukiyataka japo hatuoni kutuwakilisha kwenye mabadiliko hayo.
Mkuu,
Hii ndiyo dilemma nadhani inawakabili wapiga kura wengi katika uchaguzi huu.
 
kweli kabisa, weng watakupuuza lakini uchambuzi wako makin ndo shime ya ukweli.
Mkuu,
Katika dunia hii ambayo pia kuna wapumbavu, siyo ajabu kupuuzwa.

Kinachosimama kwenye ukweli ni hoja na sio kelele.

Wahenga walisema, kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom