MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,027
- 35,123
TZ haitakombolewa na ccm wala cdm kamwepoa lets go for it.still tutakuwa tumepiga hatua katika harakati hizi za kukomboa taifa letu
TZ haitakombolewa na ccm wala cdm kamwepoa lets go for it.still tutakuwa tumepiga hatua katika harakati hizi za kukomboa taifa letu
Mkuu,ni shida sana hii nchi...
Nakwambia cdm ni taasisi ndogo ya ccm
Mkuu,Nakwambia cdm ni taasisi ndogo ya ccm
Mkuu,Kwani hata nimeelewa basi..!!
Thanks Mkuu!Well said mkuu
Mkuu Lusungo, hako kajamaa kanajifanya kajanja kumbe utapiamulo unakasumbua!
Mkuu,uko sawa kabisa
Mkuu,I really miss these kind of posts nowadays.....totally based on facts and not fancy
Hivi wanaofananafanana na nyumbu kati ya makundi haya;
...
...![]()
![]()
na haya;
...
...![]()
![]()
Ni yapi? Nilikuwa nauliza tu...
Ninavyojua nyumbu hufanana, tena sana tu.
Mkuu,mwaka huu tunachagua mnao waita mafisadi.......TANGU LINI MKATUOMBEA MEMA......mwambie nape atoroke aje
Mkuu,
Kwanza ingekuwa vizuri ukajisemea wewe na nafsi yako!
Pili, Kama ungeelewa vizuri msingi wa hoja yangu, nadhani ungefahamu kuwa mafisadi kwa sasa yako ndani ya CCM na CHADEMA/UKAWA.
Hoja ya ufisadi kwa sasa ni kaput katika majukwaa ya kisiasa!
Tunaambiwa na wanasiasa ufisadi siyo hoja tena nchini!
Mkuu,Kwa kuwa tunao uhakika kuwa uozo huu umesababishwa na uwepo wa ccm basi acha kwanza tuifute ccm then hayo mengine tutashughulika nayo after 25th october
Mkuu,"Nunua siasa siasa ikununulie utajili" thanks alot brother
Mkuu,act wazalendo 
Thanks mkuu, atakuwa amekuelewa, kuna watu humu jf hawatofautishi mazingira ya kupigia propaganda,pia walengwa wa kuipokea hiyo propagaanda,wamejikuta wametujumuisha na wale wa majukwaani kwenye kampeni. Lakini wanaonekana ni watu makini, ni ajabu kufanya kosa la wazi kiasi hiki au wametudharau?Hivi wanaofananafanana na nyumbu kati ya makundi haya;
...
...![]()
![]()
na haya;
...
...![]()
![]()
Ni yapi? Nilikuwa nauliza tu...
Ninavyojua nyumbu hufanana, tena sana tu.