Wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Benjamin Mkapa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza mwaka 1995, Mwalimu Nyerere, alipata kusema, CCM ni kama kokoro. Linabeba samaki, wakubwa kwa wadogo. Linabeba hata takataka.
Kauli ya Mwl. Nyerere ilitoka baada ya nchi kuingia kwenye mageuzi ya kisiasa na kiuchumi bila kuwepo kwa misingi imara ya kupambana na changamoto za soko huria la kiuchumi na kisiasa.
Mwaka 1925, Mahatma Gandhi aliwahi kuorodhesha Seven Social Sins, mojawapo ilikuwa ni politics without principle. He went on to say having politics without truth(s) to justly dictate the action creates chaos, which ultimately leads to failure and violence.
Kwa kukosekana na misingi imara ya kisiasa, CCM ilijikuta ikivamiwa na wanachama/viongozi ambao wana kila aina ya uchafu na hawana maadili. CCM ilikuwa ni kama mzoga ambao ulikuwa unavuta mainzi na mafisi. Kukaibuka kaulimbiu inayosema; Nunua siasa, siasa ikununulie utajiri.
Uchafu wa kisiasa na kukosekana maadili kilipekea kuibuka kwa kikundi kinachojiita wanamtandao (party cartel). Wanamtandao kimsingi kilikuwa ni kikundi ambacho kilikuwa ni chama ndani ya CCM katika msingi wa kupata nguvu na madaraka ya juu nchini kwa njia yoyote.
Kama ilivyo kawaida, Mtandao una maisha mafupi, Mwaka 2012 ilikuwa ni mwanzo wa mwisho wa maisha ya wanamtandao kama party cartel within CCM.
Baada ya uteuzi wa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Magufuli, tumeshuhudia kumeguka kwa wanamtandao ambapo pande lingine kwa sasa linatafuta maisha yenye heri ndani ya CHADEMA/UKAWA.
CHADEMA ambayo ilikuwa tofauti na CCM kwa sasa imeanza kuvaa mavazi ya CCM ya mwaka 1995. CHADEMA imeanza kuachana na misingi yake ya kupambana na ufisadi na kwa kufanya hivyo, inakuwa kama mzoga unaovutia mainzi na mafisi ya kisiasa. Kauli mbiu iliyokuwa CCM inayosema Nunua siasa, siasa ikununulie utajiri kwa sasa imeanza kupata nafasi ndani ya CHADEMA/UKAWA.
Kwa sasa ndani ya CHADEMA/UKAWA hakuna vetting na tunaambiwa mwanachama anayeijiunga leo hana tofauti na yule aliyejiunga miaka 20 iliyopita. unaweza kujiunga leo na kupewa uongozi leo. Dhana ya makapi iliyotolewa na Katibu Mkuu, Dk. Slaa ndani ya CHADEMA sio hoja tena.
Wapiga kura makini nchini kwa sasa wako kwenye limbo. Wapiga kura makini kwa sasa wanakabiliwa na zoezi la kuchagua shetani mzee (CCM) chini ya Magufuli au shetani kijana(CHADEMA/UKAWA) chini ya Lowassa.
Kwa sasa siasa za Tanzania huwezi kuzitofautisha na upuuzi ambao huwezi kuepuka kwenye sanduku la kura!
Kampeni za mwaka huu zitakuwa ni kivutio chenye matokeo yale yale!
mwaka huu tunachagua mnao waita mafisadi.......TANGU LINI MKATUOMBEA MEMA......mwambie nape atoroke aje
Wapi nimekutaja wewe nguchilo? huna la maana zaidi ya kujinafikisha kwa watawala ukitumaini kurushiwa makombo!Mkuu,
Hii nadhani ni inferiority complex yako!
Ni wapi nilijifanya kama mjanja?
Fikra zako haziakisi ukweli!
Wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Benjamin Mkapa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza mwaka 1995, Mwalimu Nyerere, alipata kusema, CCM ni kama kokoro. Linabeba samaki, wakubwa kwa wadogo. Linabeba hata takataka.
Kauli ya Mwl. Nyerere ilitoka baada ya nchi kuingia kwenye mageuzi ya kisiasa na kiuchumi bila kuwepo kwa misingi imara ya kupambana na changamoto za soko huria la kiuchumi na kisiasa.
Mwaka 1925, Mahatma Gandhi aliwahi kuorodhesha Seven Social Sins, mojawapo ilikuwa ni politics without principle. He went on to say having politics without truth(s) to justly dictate the action creates chaos, which ultimately leads to failure and violence.
Kwa kukosekana na misingi imara ya kisiasa, CCM ilijikuta ikivamiwa na wanachama/viongozi ambao wana kila aina ya uchafu na hawana maadili. CCM ilikuwa ni kama mzoga ambao ulikuwa unavuta mainzi na mafisi. Kukaibuka kaulimbiu inayosema; Nunua siasa, siasa ikununulie utajiri.
Uchafu wa kisiasa na kukosekana maadili kilipekea kuibuka kwa kikundi kinachojiita wanamtandao (party cartel). Wanamtandao kimsingi kilikuwa ni kikundi ambacho kilikuwa ni chama ndani ya CCM katika msingi wa kupata nguvu na madaraka ya juu nchini kwa njia yoyote.
Kama ilivyo kawaida, Mtandao una maisha mafupi, Mwaka 2012 ilikuwa ni mwanzo wa mwisho wa maisha ya wanamtandao kama party cartel within CCM.
Baada ya uteuzi wa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Magufuli, tumeshuhudia kumeguka kwa wanamtandao ambapo pande lingine kwa sasa linatafuta maisha yenye heri ndani ya CHADEMA/UKAWA.
CHADEMA ambayo ilikuwa tofauti na CCM kwa sasa imeanza kuvaa mavazi ya CCM ya mwaka 1995. CHADEMA imeanza kuachana na misingi yake ya kupambana na ufisadi na kwa kufanya hivyo, inakuwa kama mzoga unaovutia mainzi na mafisi ya kisiasa. Kauli mbiu iliyokuwa CCM inayosema Nunua siasa, siasa ikununulie utajiri kwa sasa imeanza kupata nafasi ndani ya CHADEMA/UKAWA.
Kwa sasa ndani ya CHADEMA/UKAWA hakuna vetting na tunaambiwa mwanachama anayeijiunga leo hana tofauti na yule aliyejiunga miaka 20 iliyopita. unaweza kujiunga leo na kupewa uongozi leo. Dhana ya makapi iliyotolewa na Katibu Mkuu, Dk. Slaa ndani ya CHADEMA sio hoja tena.
Wapiga kura makini nchini kwa sasa wako kwenye limbo. Wapiga kura makini kwa sasa wanakabiliwa na zoezi la kuchagua shetani mzee (CCM) chini ya Magufuli au shetani kijana(CHADEMA/UKAWA) chini ya Lowassa.
Kwa sasa siasa za Tanzania huwezi kuzitofautisha na upuuzi ambao huwezi kuepuka kwenye sanduku la kura!
Kampeni za mwaka huu zitakuwa ni kivutio chenye matokeo yale yale!
Kwani hata nimeelewa basi..!!
Kiongozi umeongea ukweli kabisa. Mimi mwenyewe hapa niko njia panda kabisa maana wote hao wanafanana.
Ndugu muda wowote tutayaona mengi ya ccm cdm, ndio maana najisemea ukombozi wa tz badoMkuu,Kwa sasa siwezi kusema kama CHADEMA ni tawi la CCM lakini ninachofahamu, kilichoifanya CCM kufika hapa ilipo ndio kile kimeanza kujitokeza ndani ya CHADEMA/UKAWA.
Wewe nanani!ni kweli, kwa kuwa sisi pia ni ccm, basi tutaichagua chadema.
Huyu ni ccm tumpuuze.
Yote uliyoongea ilikuwa kuzuga tu, msingi wa yote uko paragrafu ya mwisho...chuki zako kwa Lowassa.
Mkuu,
Kwa sasa siwezi kusema kama CHADEMA ni tawi la CCM lakini ninachofahamu, kilichoifanya CCM kufika hapa ilipo ndio kile kimeanza kujitokeza ndani ya CHADEMA/UKAWA.
Mimi ilikua niwapigie ukawa kura zote kuanzia urais mpaka udiwani,lakini kitendo cha kumleta lowassa kura Yangu ya urais imerudi kwa magufuli,nitawapa ukawa kura ya ubunge na udiwani,kama ukawa watakua wanafikili ninavyofikili Mimi basi ni heri tu,Mimi nafikili ukawa wanamtumia lowasa ili kupata viti vingi vya ubunge na udiwani tu,
huku wakijua kabisa kwamba swala la urais kwa lowasa halipo,yaani ccm wakukate,wakuite makapi fisadi mgonjwa,halafu uende ukawa hata wananchi wakupigie kura zote za urais wewe ccm hawakupi urais,si wanakujua madhambi yako ,
na this time naungana na ccm goli la mkono ikibidi poa tu, lowasa sio! huyo ni wakutumiwa tu kama alivyomtumia kikwete halafu akamwaga,ukawa nanyie mtumieni halafu mnamwaga! kimeo hicho !
Mkuu,
Nani amekuambia ninataka kulala au nilipo ni usiku?
Utai-delete vipi CCM wakati kifaa cha kui-delete ulikisema hivi,
Baada ya mwanaJF kusema hivi,
Kwenye thread hii,
Tutaendelea kukukumbusha!
Wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Benjamin Mkapa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza mwaka 1995, Mwalimu Nyerere, alipata kusema, CCM ni kama kokoro. Linabeba samaki, wakubwa kwa wadogo. Linabeba hata takataka.
Kauli ya Mwl. Nyerere ilitoka baada ya nchi kuingia kwenye mageuzi ya kisiasa na kiuchumi bila kuwepo kwa misingi imara ya kupambana na changamoto za soko huria la kiuchumi na kisiasa.
Mwaka 1925, Mahatma Gandhi aliwahi kuorodhesha Seven Social Sins, mojawapo ilikuwa ni politics without principle. He went on to say having politics without truth(s) to justly dictate the action creates chaos, which ultimately leads to failure and violence.
Kwa kukosekana na misingi imara ya kisiasa, CCM ilijikuta ikivamiwa na wanachama/viongozi ambao wana kila aina ya uchafu na hawana maadili. CCM ilikuwa ni kama mzoga ambao ulikuwa unavuta mainzi na mafisi. Kukaibuka kaulimbiu inayosema; Nunua siasa, siasa ikununulie utajiri.
Uchafu wa kisiasa na kukosekana maadili kilipekea kuibuka kwa kikundi kinachojiita wanamtandao (party cartel). Wanamtandao kimsingi kilikuwa ni kikundi ambacho kilikuwa ni chama ndani ya CCM katika msingi wa kupata nguvu na madaraka ya juu nchini kwa njia yoyote.
Kama ilivyo kawaida, Mtandao una maisha mafupi, Mwaka 2012 ilikuwa ni mwanzo wa mwisho wa maisha ya wanamtandao kama party cartel within CCM.
Baada ya uteuzi wa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Magufuli, tumeshuhudia kumeguka kwa wanamtandao ambapo pande lingine kwa sasa linatafuta maisha yenye heri ndani ya CHADEMA/UKAWA.
CHADEMA ambayo ilikuwa tofauti na CCM kwa sasa imeanza kuvaa mavazi ya CCM ya mwaka 1995. CHADEMA imeanza kuachana na misingi yake ya kupambana na ufisadi na kwa kufanya hivyo, inakuwa kama mzoga unaovutia mainzi na mafisi ya kisiasa. Kauli mbiu iliyokuwa CCM inayosema Nunua siasa, siasa ikununulie utajiri kwa sasa imeanza kupata nafasi ndani ya CHADEMA/UKAWA.
Kwa sasa ndani ya CHADEMA/UKAWA hakuna vetting na tunaambiwa mwanachama anayeijiunga leo hana tofauti na yule aliyejiunga miaka 20 iliyopita. unaweza kujiunga leo na kupewa uongozi leo. Dhana ya makapi iliyotolewa na Katibu Mkuu, Dk. Slaa ndani ya CHADEMA sio hoja tena.
Wapiga kura makini nchini kwa sasa wako kwenye limbo. Wapiga kura makini kwa sasa wanakabiliwa na zoezi la kuchagua shetani mzee (CCM) chini ya Magufuli au shetani kijana(CHADEMA/UKAWA) chini ya Lowassa.
Kwa sasa siasa za Tanzania huwezi kuzitofautisha na upuuzi ambao huwezi kuepuka kwenye sanduku la kura!
Kampeni za mwaka huu zitakuwa ni kivutio chenye matokeo yale yale!
Mbona hamtaki kuambiwa ukweli?
Mkuu wafuasi wa ukawa ni kama nyumbu.leo watasema hili kesho watageuka.ukawa chini ya slaa ilikua tishio kwa ccm,lakini ukawa hii ya sumaye na mngeja? Uchaguzi utaisha tatehe 24!Mkuu,
Wewe ulishasema hoja zangu ni nyeupe kama makamasi lakini cha kushangaza bado unataka kusikia zaidi hgoja nyeupe kama makamasi!
Badala ya kusikia majibu yenye hoja nyeupe kama kamasi, majibu ya hoja yako ulishawahi kujibu wewe mwenyewe ambapo ulisema katika thread hii,
Kwenye comment namba 16 ulisema,
Kwa hiyo unataka nini zaidi wakati umejijibu mwenyewe?