CCM ifutwe:Amani ya Tanzania inaharibiwa na CCM ya mafisadi na uroho wa madaraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ifutwe:Amani ya Tanzania inaharibiwa na CCM ya mafisadi na uroho wa madaraka

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mabadilikosasa, Apr 6, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Napendekeza CCM ifutwe kama Tunisia walivyofuta chama tawala kwa sababu zifuatazo
  1. CCM Imetawala miaka karibu 50, watu wale wale kina Msekwa, kingungwe, makamba, mwinyi, etc. Hawana mawazo mapya.
  2. Ni matandao wa wanamslahi.Viongozi wao hawana utaifa, wajilimbikizia mali na kutunga sheria za kuwalinda
  3. Inasimamia wizi wa raslimali za nchi na wageni
  4. Haina huruma na shida na taabu za Mtanzania wa kawaida
  5. Imejaa wezi ambao ni wakwepa kodi wakubwa
  6.Ina upendeleo wa kidini, na inaendelea zaidi kujimarisha kidini (uislamu)
  7. Inatumia dola kukandamiza demokrasia ya kweli
  8. Imeshindwa kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania, maisha bora yamebaki kwa viongozi wake na familia zao
  9.Inatunga sheria kandamizi, ili iweze kutawala milele kwa upanga
  10. Haipendi kukosolewa, especially, kujulikana wizi wao
  11. Nafasi wanapeana kwa kujua na upendeleo, na kukifanya chama cha ubaguzi wa kidini
  12. Adui wao ni yule anayewaambia ukweli. Ukweli kwao ni sumu. Uongo kwao ni Mtaji, ndo maaana wanatumia sana vyombo vya habari vya serikali na vya kiislam kueneza propaganda za uzushi na uongo, kuwadanganya watanzania
  etc


  Bila CCM kufutwa hakuna maendeleo Tanzania. Tutaendelea kunyonywa, kuteswa, na kudharauliwa duniani kote. Umaskini utaongezeka kila siku wakati viongozi wetu wanakua matajiri wakubwa.

  Mungu Inusuru Tanzania
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mkuu una akili mingi sana.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  mi huwa nafananisha ccm na toilet paper.
   
 4. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nadhani kisifutwe naombea tu tume huru(isiyochakachua na kuchakachuliwa) ya uchaguzi ambayo itatangaza matokeo ya haki na CCM wawe wapinzani. Kwani ni vizuri kumwombea adui aishi maisha marefu....
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nilishasema siku mingi kuwa hii ccm sio chama bali ni genge la wahuni na majambazi yanayoiba kodi za watanzania. Hili genge linatumia ccm ilikujinufaisha wao. CCM ifutwe na Wakina Kikwete na majambazi wenzake wakamatwe na kusekwa ndani.
   
 6. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kifutwe kabisa kila nikisikia hilo jina napata hasira sana.
   
 7. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wazo zuri ila pana kazi ya ziada kwani watu wengi walioko ccm wanaishi kwa uizi wa mali ya umma na pia hawana qualification za kutosha kusurvive kwenye huu uchumi huria. Kwa kifupi wanaishi kwa kubebana wengi ni vilaza na bila ccm hawataweza kucompete katika soko huria katika kuuza fani zao na mwishowe wengi watakufa njaa mtaani. CCM ndio maduka yao, ndio certificate zao na ndio uhai wao. CCM haiwezi kuachia madaraka kwa hizi soft solutions tunazotumia za kuandika hisia zetu kwenye blogs, forums na kuficha identity zetu. Strategy tunayotumia na huu uwoga wetu na kuamini kuwa tutawatoa ccm kwa balot box uko very pessmestic tukumbuke kuwa nchi nyingi za Africa kuna tofauti kubwa kati ya kushinda uchaguzi kwenye balot box na kitendo cha kutangazwa mshindi. Kitendo cha kutangazwa mshindi ndio crucial kuliko hata hizo ballot box. Na kwenye kutangazwa mshindi hapo ccm ndio wameshika na kuweka watu wao. Tunakubali kujitoa mhanga njia ya kuing'oa ccm si rahisi kama inavyofikiriwa
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu.
  Umeshaisahau ile theory yako ya mataifa yenye nguvu imetoa kazi kwa CCM kuidhibiti Zanzibar.
  Kama bado unaamini katika hili vipi unategemea CCM itaondoka madarakani au haya mataifa yanayotoa maagizo kwa serikali ya TZ wameshapata mrithi wanayemwamini zaidi ya CCM?

  Umesikia jinsi CCM wanavyocheza karata zao juu ya katiba mpya?

  Well, wamesema kwanza itakuwa tayari 2014....lakini mswada wa sheria ya katiba mpya,ambao unalalamikiwa sana kwa makosa yaliyomo, wanataka kuupitisha kwa haraka...si umesikia wananchi wamepata mabomu ya kutoa machozi kama zawadi yao kwa kujitokeza kwa wingi kutoa maoni yao?

  hakika CCM yapasa ifutwe si wakati tena wa kuwa na vyama vya kimapinduzi. CCM inazuia uendelevu wa demokrasia ya kweli kwa TZ.

  Lakini nakubaliana na wewe kuwa lazima wananchi tubadili mbinu ya kukabiliana na CCM. Ungefanya vyema kama umeshafikiria mbinu gani zitumike ,zimwage hapa tuzipime.
   
 9. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Nonda theory yangu iko palepale, sikupenda kurudia hapa na sipendi kuwakatisha tamaa watu kwamba CCM kamwe siku moja haitaweza kudondoka madarakani. Nakubali mambo huwa yanabadilika. Ni vizuri kujua kuwa haya Mataifa Makubwa yana permanent interesta and not permanent friends, wanaweza kuwamwaga ccm muda wowote kama interest zao hazitafwatwa. Kwa sasa issue ya katiba wapo kimya kabisa maana kwao yote ni sawa muhimu maslahi yao yanalindwa. Kwa kweli kwa sasa kinachohijaka ni ujasiri ili kueonyesha wazi kabisa kuwa sasa ccm imechokwa la sivyo wataendelea kufanya madudu kama wanavyoendea sasa kuyafanya
   
 10. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba inongezeke hoja nyingine katika michakato inayoendelea, Kwa Majina Jakaya, Mkapa, etc
  baada ya kuwamwaga CCM tutawafanya nini watu hawa?

  tuanze kukubalina sasa na wale watakaoingia madarakani kwamba hawa watu wapewe adhabu gani?
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  mbali na kutaka kuondoa amani iliyopo lakini pia wanapora urithi wa taifa wakidai ni mali za chama ambazo originally zilikuwa za umma!
   
Loading...