CCM hoyee: Kituo kipya cha Mabasi Ikungi

Kweli Chadema walikuwa wanatucheleweshea maendeleo,mitano tena.View attachment 1686609
Mbunge wao wa CCM anatumia vizuri Mfuko wa Jimbo kwa manufaa ya Kijiji na Halmashauri kutokana na ushuru unaolipwa na kila Basi linalosimama hapo labda na hao wanaolala hapo kama huyo mmoja, kama hawasafiri, nao wachangie kitu kidogo kwa maendeleo yao.

Kama viongozi wetu wangekuwa wanatimiza ahadi zao wanazotoa majukwaani, zile milioni 50 kila Kijiji zingesaidia kujenga hata Stesheni ya Mabasi ya kimataifa kama ile ya Mbezi kuongeza mapato ya Kijiji na Halmashauri. Waruhusu wasafiri tu kulala Stand wakingoja Basi!
 
Mitano Tena tumeshuhudia maendeleo makubwa , Sasa naanza kuamini tumeingia uchumi wa Kati ,tushazoea na kumudu Bei ya mafuta ya kula sukari ,pia tupo tayari kupokea mengineyo ,chini ya kapeti nasikia Kodi ya kichwa inawadia muda si mrefu, mtaarifu mwenzio upatapo ujumbe huu.

FB_IMG_16116601591075872.jpg
 
Hata banda la kuku lina nafuu, ama kweli chadema walituchelewesha sana, sasa hivi hakuna visingizio
 
Huyu Mbunge anafanya wananchi wajinga eee...nini hii takataka si bora angeacha tu kama hana hela.
 
Back
Top Bottom