Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Kuna taarifa nimezipata muda huu kuwa, CCM ipo hoi bin taaban kiinteligensia, CCM ilitegemea kupata taarifa za wenzao Wa Ukawa kirahisi, lakini hadi sasa haijapata siri yoyote dhidi ya Ukawa hivyo kuwa katika wakati mgumu kimaamuzi na kimkakati... nanukuu "Tuliyemtegemea kupata taarifa zao ni yule kagenzi lakini Chadema Intelligence ndo hivyo tena ikamshtukia, sasa kwa sasa our team haipati taarifa zozote.....kuna yule mwingine naye tulimtegemea sana, kama wangekubaliwa kujiunga na huo umoja wao tungefurahi sana lakini jamaa wamemgomea..." amesema kiongozi mmoja wa juu wa CCM.
My. take:wakuu hali ni mbaya zaidi ya tunavyoweza kufikiri..
My. take:wakuu hali ni mbaya zaidi ya tunavyoweza kufikiri..