Ccm walikuwa wanamtegemea yule msaliti ameshafukuzwa yupo ACT bado walivyo wanafiki wanaomba kujiunga na Ukawa.
Najaribu kuwaza namna walivyokuwa waki negotiate na yuda. Yuda kwa mariingo akiwaambia, "hiyo sasa ni shughuli nyingine na inahitaji makubaliano tofauti", "Kumbuka sasa nitakuwa nawapa habari za UKAWA wote kwa maana ya vyama vyote, ni sawa na kuua ndege wanne kwa jiwe moja!". Msisahau kwamba nina risk si hatima yangu kisiasa tu ambayo si kitu sana kwangu kwa sababu ninauwezo wa kufanya kazi nyingine nje ya siasa, lakini pia mahusiano yangu na hata maisha yangu.
"How do you value my social risks? No payment is worthy my life!." I am doing this only because I am concerned with the fate of my country.." . Sasa either you give me thrice as much as privious rates, or no deal". Take your time... and let me know after you have decided. Remember, nitahitajika kuongeza informers from individual UKAWA parties and many other costly strategies that I can disclose to nobody!.
Nao wakuu wa makuhani na mafarisayo, watasema " Tunakuelewa sana wewe ni mzalendo na uwezo wako mkubwa. Lakini kumbuka tunakwenda kwenye uchaguzi na kama chama tutahitaji fedha nyingi za kampeni na maandalizi. Pengine sasa tukubaliane tukulipe nusu na zinazosalia tutamalizia ndani ya miezi miwili baada ya uchaguzi.
Yuda atakuwa akijibu, "Anyway, tukubaliane hivi, kama ni kwa mkopo basi mjue kuna interest. Na hiyo interest mtailipa kabla ya uchaguzi kwa maana ya kuongeza budget kwenye ACT unit support ili pia nitumie nafasi hii kuhakikisha nafanya mikutano mingi ambayo itakwenda sambamba na mikakati mingine.
Wale wazee watatazaman ksha watasema " Hilo halina shida kwa sababu tutakuwa tunalipa kwa awamu bila kuathiri liquidity. Sasa what next?
Yuda atajibu, "sasa acheni nianze maandalizi ya kujiunga nao kwanza. wakinikubali, tunasaini mkataba na malipo ya awali mtanilipa kwa njia ile ile ya siku zote".
WOTE WANACHEKA NA KUSHAKE, SAWA, TUMEMALIZA. ALL THE BEST. HAYA AHASANTENI.
Sasa baada ya ukawa kugomea deal, sijui tena alirudi kwa mkakati upi!.
ILA NINACHOKIJUA, YUDA ANAIMALIZA CCM!.