Ccm Hoi Handeni,Chadema Wanaelekea Kushinda

Ccm Hoi Handeni,Chadema Wanaelekea Kushinda

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Kuna tetesi nimezipata kutoka handeni ni kuwa mpaka sasa Ccm wapo hoi
Na chadema wanaongoza kwa kura nyingi sana.
 
huko itakua kenya ila si handeni ninayoifahamu kule chadema hamna.
 
Kuna tetesi nimezipata kutoka handeni ni kuwa mpaka sasa Ccm wapo hoi
Na chadema wanaongoza kwa kura nyingi sana.

siku ccm ikishindwa handen, ndio itakuwa chanzo cha viwanda elimu bora na ndio kipindi mtanzania ataenda kufaidi mali asili za nchi hii
 
handeni ni sawa na tabora, dodoma,pwani CCM NI KILA KITU KWAO

HII NI SAWA NA KUOKOTA CHUNGWA KWENYE MTI WA EMBE DODO
 
Mimi sisemi neno hadi mwisho wa tume itakapotangaza,
 
Mhhhh hao wazigua akina shemaonge hao na fisiem ni damudamu yaani cdm kushinda handeni ni sawa ba mende kuangusha kabati
 
Hao wazigua akili zao zimeganda na wapo ktk usingizi wa pono yaacheni mafisiem yawatese saisi majiji tu .hayo ni kama Yale makoma na ombaomba walivomchagua lusinde
 
Back
Top Bottom