CCM hawana Chao Jimbo la Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hawana Chao Jimbo la Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Expedito Mduda, Jun 17, 2012.

 1. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli CCM imekwisha na iko ICU. Leo hapa Iringa toka asubuhi wanahamasisha mkutano wao lakini hakuna kitu.

  Sasa hivi wamekodi boda boda lakini hakuna kitu. Watu wa boda boda wanazunguka mjini lakini wapi.

  Jana watu kwenye mkutano wa CHADEMA watu walikuwa nyomi.
   
 2. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tupe na pctr kamanda.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wingi au uchache wa watu ndiyo uhai wa chama?
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 4. W

  Welu JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 787
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  wamezidi kufuata nyuma ya CDM kwa nini? Kwanini wasiende Rukwa? Wanasubiri wakisikia chadema imepita mahali nao utasikia hao nyuma kama nani vile....... Igeni ya tembo.
   
 5. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Hiki si ndio kile chama chenye mtandao mkubwa na zaidi ya wanachama milioni 5?
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Wanaandaa maziko yao 2015.
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Wamebakia wala nchi tu ambao ni kama familia 7 tu.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mAREHEMU ccm ANANUKA RUSHWA
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  wanajua kinachoendelea huko dodoma?nasikia lissu na mbowe wanavua magamba!
   
 10. s

  swrc JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hebu tujuze zaidi huko dom
   
 11. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,795
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Together we can!bidii yetu na maamuzi yetu ndoitakayoiweka chadema madarakani!!!tuwe mabalozi wa mabadiliko,mimi na wewe!!!wewe,mimi na yule ndo tutakaoleta mabadiliko kwa kuchagua kilicho safi!!Peoplesss!!!!!!
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Gamba la kobe
   
 13. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Pipooooz!!
   
 14. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  chama unatafsiri kama nini kamuulize msajili wa vyama kabla ya chama kupewa usajili wa kudumu anaangalia vigezo gani ???
   
 15. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 586
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  siku za Nepi kama katibu wa uenezi zimefika ukingoni. Ni bora afanye uamuzi mgumu. Kwanza ni kipindi cha uongozi wake ndiyo watu wanahama chama kwa mamia.
  worse enough anatumia kauli za hovyo na matusi as he did at Iringa today. shame on HER.
   
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Siyo iringa tu kote kote
   
 17. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 925
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Marehemu CCM tulimpenda ila kukataliwa na wananchi kumempenda zaidi.Rest in peace CCM jiandae kuwa chama cha upinzani maana hata kabla hujawa chama cha upinzani tayari umeisha anza kazi ya chama cha upinzani kwa kucopy na kupaste kila kinachofanywa na CHADEMA.
   
 18. a

  akide Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kweli ccm imeishiwa,nawashauri wasiige ya chadema,maana wanajiharibia zaidi.
   
 19. m

  mkurugenz JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  shida wenzetu wa ccm kila siku wanatueleza yaleyale bila ya kuyatekeleza,ahadi kibao wazifunika sasa wananchi watapata wapi shauku ya kuwasikiliza
   
 20. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani kwani hiki chama changu cha Magamba hakijawafanyia lolote jema? Mbona mnakipondea sana hiki chama changu? Nitaendelea kuwa mwanamagamba hata kama nitabaki mwenyewe kwenye hiki chama changu cha Magamba!
   
Loading...