Michellethey r just playin with fire ccm dis time imejipanga no backup
Hivi Mgeja ni mwenyekiti wa nini vile naomba unikumbushe,Hata hivyo nani kawatuma? Hata kama kauli kama zile zingekuwa zinaelekezwa upande wa pili wa akina Lowas, bado wangekuwa hawatendi haki kwa sababu hawajakaa kikao chochote na wananchi/wanachama wao wakakubaliana na misimamo yao binafsi!!!. kauli zao akiwamo Kagasheki zinashangaza na sikutarajia kiongozi kama yeye azitoe! Mahala pale si pake, amepewa kwa muda, miaka 5.
Hewala you are almost there....kumbe wapo kwa hiyo dawa ni kuwa ignore au kuwasikiliza au kuwadharau the choice is in your vicinity.Una wajumbe zaidi ya 250; Hivyo wakuu wa mikoa no 10% ya wajumbe wote na si wakuu wote wa mkoa wasiotaka gamba livuliwa
Mwache avute ipasuke vipande zaid i

Waandaa kuleta vurugu kikao kijacho cha NEC

Wala njama kuzuia wafadhili wao wasing'olewe

BAADHI ya wenyeviti wa mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepanga kuleta vurugu kubwa kwenye kikao cha mwezi ujao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho (NEC) ili kuzuia Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa, pamoja na waziri wa zamani, Andrew Chenge, wasing'olewe kwenye chama.

Wenyeviti hao wa CCM na wajumbe wengine wa NEC wamepangwa kusimama kwenye kikao hicho cha Septemba na kupingana na uamuzi wa chama hicho wa kuwataka wanasiasa wenye tuhuma za ufisadi kujiuzulu wao wenyewe kwenye nafasi za uongozi kabla ya kusubiri kufukuzwa.

Kundi hilo la wajumbe wa NEC, wakiwemo wengine kutoka Tanzania bara na Zanzibar, limepangwa ili kujaribu kuleta mapinduzi haramu ndani ya chama katika jitihada za kuzuia wanasiasa hao wasifukuzwe.

Genge hili la wajumbe wa NEC limeapa kuwa haliko tayari hata kidogo kuona "wafadhili" wao wanatimuliwa kwenye chama.

span>[/QUO
Waongo sana hao hawawezi fanya chochote. Kwani nani aliwazuia hayo kufanyika kikao kilichopita ?. Kwanini wasianze hata leo kupinga hadharani.Amini ikifika mwezi sept utasikia tutafanya mwezi Desemba. Mimi sipendi unafiki.
tehe teh...no backup= hakuna kurudi nyuma....tafsiri imekaa ki CCM CCM!Michelle
Sijakuelewe hapo kwenye bold unamaana hakuna kurudi nyuma au hakuna msaada,
nafikiri ungeandika kiswahili ungeeleweka vizuri.
........ mbinu nzito iliyobaki pamoja na ku-win wajumbe kwa kugawanywa kikanda,mfano kanda ya Ziwa chenge,hamisi kagasheki na karamagi wanaimudu .....
..... Idd Simba na kashfa zake za UDA ambaye ofcourse inaonekana si mtandao wa akina EL......
hawana cha kupasua wala nini... ni uleule unafiki wa kisiasa
leo utasikia haya, kesho utasikia yale
to me, sio tofauti ya magamba, CCM, NEC wala CC
Nataka dawa, maji, umeme, nishati, elimu, kilimo nk

Tanzania tuna mikoa 25; ukuzungumza wenyeviti wa mikoa unazungumzia watu 25 kati ya wanachama wapatao 4000. Hakuna mpasuko wowote ni hofu tuu ya kuwakosa watu waliozoeleka kwenye kundi
Sasa inasemekana kwamba kundi EL linaungwa mkono na wajumbe wengi wa NEC wengine husema zaidi ya 50% kama ni kweli hali itakuwa mbaya kwa mzee kaya na mustakabali wa chama kwa ujumlaUna wajumbe zaidi ya 250; Hivyo wakuu wa mikoa no 10% ya wajumbe wote na si wakuu wote wa mkoa wasiotaka gamba livuliwa