Ngendalikoma
Member
- Sep 6, 2013
- 13
- 7
Hahahahahaaaa.....mia
Wamepata tenda ya madawa ya kulevya Brazil...mbona wana miradi mingi sana sasa harambee ya nini tena
Mpaka aombe ruhusa kwa Mwigulu...Wizi mtupu huu. Mkuu HAMY-D hebu njoo huku utupe ufafanuzi na ule uzi wako wa kuponda chadema kuchangisha wananchi, kuna tofauti na hili kweli? Au ndo mambo ya usitukane mamba kabla hujavuka mto?
'hisexceleency' ndio neno gani sasa?
Ndio maana wanaliingizia taifa hasara kwa kusaini mikataba mibovu, kumbe ni kwasababu lugha gongana hivyo hawajui wanasaini nini.Hii lugha ya watu kazi sana,
Hiyo Heading ya barua sijaielewa au kaandika Mulongo?