ccm haiwezi kuyaacha maadili ya uongozi!

mtumishidc

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
513
181
ndugu nape amesema ccm haiwezi kuyaacha maadili ya uongozi maana ikiyaacha maadili ya uongozi ccm itakufa! Ameyasema hayo akiwa lindi
chanzo: ITV
SWALI LA KUJIULIZA: CCM inafuata maadili ya uongozi?
waliyoyaondoa kwenye rasimu ni wa ki nani?
waliopiga escrow wamefuata maadili ya uongozi?
na kama hawafuati maana yake CCM imeshajifia na NAPE anaota ndoto za mchana?
 
Ccm kama wanafuata maadili, wawavua uanachama wafuatao, chenge, tibaijuka na hata ngeleja kwa ufisadi wa kodi za watanzania! Vinginevyo ni blah blah tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom