CCM haiwezi kumshughulikia Gwajima kwani amewasaidia kuzorotesha Kampeni ya No reforms no Election

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,414
Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema
 
IMG-20250528-WA0071.jpg

IMG-20250528-WA0074.jpg
 
We mzee na wewe unazeeka vibaya sasa! Ameizoloteshaje?
 
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Mkuu kila jambo na wakati wake, Hekima ni kujua nini uongee, ni wakati gani uongee na vilevile ni wakati gani unyamaze.

Gwajima amechagua kuongea sasa kwa sababu anazojua yeye, vilevile ni bora kazungumza kuliko angekaa kimya kwa sababu hujui Utekaji utaendelea hadi lini. Nafikiri ni wakati sahihi wa yeye kuzungumza.

InFact Gwajima ameongea vitu vya msingi sana na wahusika wanapaswa kuchukua alichoshauri.

Wananchi sisi ndio TATIZO kwenye hili Taifa.
 
No reforms No Election ni kampeni halisi kwa watanzania kupitia njia mbali mbali na nguvu yake ipo pale pale.

Maneno ya Gwajima yamehalalisha hoja za CHADEMA kuhusu utekaji!
 
Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema
Hapana kabisa😀 ishu ya Gwaji boy tuliimaliza jana.. Leo Arusha tumeliamsha dude vibaya mno
 
Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema
Mbona unababaika? Kwamba mtu atayemuamini Gwajima ni mjinga!? Kwamba alichosema Gwaji ni uongo? Watu hawapotei? Mbona wabunge wako wamethibitisha na kutamba kuwa nguvu ziongezwe kuwadhibiti kenge!? Kama kweli Gwajima katumwa basi waliomtuma hawakufanya hesabu zao vizuri na ndomana unaona imewachafua siyo mdani tu ila kimataifa!
 
Mkuu kila jambo na wakati wake, Hekima ni kujua nini uongee, ni wakati gani uongee na vilevile ni wakati gani unyamaze.

Gwajima amechagua kuongea sasa kwa sababu anazojua yeye, vilevile ni bora kazungumza kuliko angekaa kimya kwa sababu hujui Utekaji utaendelea hadi lini. Nafikiri ni wakati sahihi wa yeye kuzungumza.

InFact Gwajima ameongea vitu vya msingi sana na wahusika wanapaswa kuchukua alichoshauri.

Wananchi sisi ndio TATIZO kwenye hili Taifa.
Gwajima ameongeza hamasa ya NO REFORMS NO ELECTION

Na wakimshughulikia pia wataipa hamasa NO REFORM NO ELECTION

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema
Si ajabu Mtibeli na wewe wamekupa kisado cha asali ulambe kidogo. Na ulipolamba tu,chap ukajisogeza kwenye keyboard ukacharaza huu uzi🍯🍯🍯🍯🍯
 
Watu wagumu sana kuelewa mambo!

Mbona Gwajima ujumbe wake wote hauna tofauti kabisa na NRNE???

NRNE is currently unkwepable message!
 
Back
Top Bottom