Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Mtoto CCM kufia Rais Kikwete mapajani rasmi mnamo 2015.
Na hapo mbeleni kidogo, kutatokea POLITICAL RE-ALLIGNMENTS kwa namna ambayo hata viongozi wa sasa huko CCM hawatokaa waamini macho yao. Wapo watu wengi sana tu ndani ya CCM ambao tunawafahamu fika kuwa ni wasafi na waadilifu sana ila tu wamefata tu kupakwa shombo ya UFISADI kwa kuwa tu wamo ndani ya chungu kimoja na wale wazandiki.
Ujumbe wetu kwa masalio ya wasafi na waadilifu ndani ya CCM hadi hivi sasa ni kwamba kamwe hawajachelewa kuchukua hatua kujitenga na uozo na waficha fedha za umma nchini Uswisi.