Gentleman,
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, kazi hii hua ni ya kizalendo na haichoshi kwasabb kuna Neema na Baraka za Mungu ndani yake 🐒
Wao wanachojua raia wote ni ccm chiembe au nasema uongo? Ila reforms zinaogopwa kama ukoma.
huenda wapiga kura zaidi ya milioni 31 wakampigia kura Dr.Samia Suluhu Hassan oct.29,2025.🐒Mifumo inasomana... Hawa kina Tlaatlaah ni kama rangi tu kwenye basi... Rangi iwepo ama isiwepo haifanyi injini ya gari kuwa imara...
Afadhali cocochanel akili inasepa mara inamrudia😃😄
Ebu tujiulize kwanini watu katika namna yoyote inayotumika wanaenda kujaza hiyo mikutano ya Ccm?Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Watu wasiopenda fisiemu kwanini wanakubali kubebwa au huwa wanalazimishwa ?Hio beba beba uwanja unapojaa ndio justification ya hao wanachama m13 lakini kiu halisia hawapo
Mbona hy iko wazi, na Oktoba usha-tik-shwa!Il
Ila hawa jamaa ni wezi Sanaa pengine Sisi humu ndani tumeshapiga Kura
Acha kuharibu maana ya Uzalendo wewe mjingaGentleman,
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, kazi hii hua ni ya kizalendo na haichoshi kwasabb kuna Neema na Baraka za Mungu ndani yake 🐒
Maelfu ya watu huko mashambani na vijiji hawajui tofauti kati ya CCM na serikali. Wewe wazia Polisi anawezaje kumuuliza mtu ni nani "balozi" wake kwenye zama hizi!!sasa kitendo cha mtu kukubali kubebwa na kupelekwa kwenye mkutano wewe hakikupi maswali ?
Hawalazimishwi wote ingawa wapo wanaolazimishwa... Wengi wao hughilibiwa!Watu wasiopenda fisiemu kwanini wanakubali kubebwa au huwa wanalazimishwa ?
Hoja ya The Burning Spear inakolezea hoja yangu. Yeye anasema kuwa ukitaka kujua kuwa CCM haina watu fuatilia mikutano ya wagombea wao ubunge na udiwani haina watu kabisa!!So nadhani hoja yako inakuwa na mashiko zaidi ukitazamia huo uhalisia.
Kuwa na wanachama na kukubalika ni vitu viwili tofauti ...ndiyo maana Samia kaogopa democracy hadi ndani ya chama chake mwenyewe ....asilimia 90 ya wanaccm awamkubali SamiaHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Watu wanachukua card za ccm kwa maslai mengine siyo kwamba wanamkubali samia au ccmHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Kipimo cha CCM ni kampeni za wabunge hazina watu
Unakwenda kusikiliza kitu gani? Yaani leo Mgombea Urais wa CCM anaahidi kujenga barabara ya lami yenye urefu wa KM 11 halafu unakwenda kumsikiliza. Huo ni uharibifu wa muda wa kunywa biaHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Wenzako wana sayansi yao kipekee sana hivyo pambanaHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
WEwe binafsi au mimi na wengine kwa nini hutughibiliwi ?Hawalazimishwi wote ingawa wapo wanaolazimishwa... Wengi wao hughilibiwa!
Kwa hoja yako ina maana fisiemu bila hata kuchachua mifumo wana uhakika wa kupata kura za hao wa huko mashambani na vijijini.Maelfu ya watu huko mashambani na vijiji hawajui tofauti kati ya CCM na serikali. Wewe wazia Polisi anawezaje kumuuliza mtu ni nani "balozi" wake kwenye zama hizi!!
Sawa. Tumekuelewa. Kwahiyo hiyo ndio sababu hampigi kura?Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Mifumo inasomana... Hawa kina Tlaatlaah ni kama rangi tu kwenye basi... Rangi iwepo ama isiwepo haifanyi injini ya gari kuwa imara...
Afadhali cocochanel akili inasepa mara inamrudia😃😄