Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,174
- 48,459
Kipimo cha CCM ni kampeni za wabunge hazina watu kabisaHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Mkuu hapo ulipo inawezekana we mwenyewe ni mwanachama wa CCM lkn hujijui na umeshapiga kura ya ndio inasubiri kuingia kwenye box!!Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Ulitaka Pilipili itoke wapi kama siyo shambani?Pilipili ya shamba yawawashia nini (*2) Twanga pepeta internationale
watu kwa maelfu na mamilioni yao,Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Ila hawa jamaa ni wezi Sanaa pengine Sisi humu ndani tumeshapiga KuraMkuu hapo ulipo inawezekana we mwenyewe ni mwanachama wa CCM lkn hujijui na umeshapiga kura ya ndio inasubiri kuingia kwenye box!!
Mifumo inasomana... Hawa kina Tlaatlaah ni kama rangi tu kwenye basi... Rangi iwepo ama isiwepo haifanyi injini ya gari kuwa imara...Il
Ila hawa jamaa ni wezi Sanaa pengine Sisi humu ndani tumeshapiga Kura
Kweli kabisa...Kipimo cha CCM ni kampeni za wabunge hazina watu kabisa
Ile mikutano Watu hawafiki Elfu Kumi,,Watu Elfu Kumi Ni Wengi MnoKila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Hio beba beba uwanja unapojaa ndio justification ya hao wanachama m13 lakini kiu halisia hawapoHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Kumbe ndio maana kuna wali nazi wa kutosha sana chamani kwa majibu hayaPilipili ya shamba yawawashia nini (*2) Twanga pepeta internationale
Umechagua kazi ngumu sana kuitetea Ccm ya Sasa ya akina Abdulwatu kwa maelfu na mamilioni yao,
wataendelea kujikusanya kadiri inavyowezekana kumpokea, kumuona na kumsikiliza kipenzi chao Dr Samia Suluhu Hassan,
na hatimae Oct 29,2025 ni kutiki tu ✔️
porojo na nonsense zingine ni useless tu 🐒
Gentleman,Umechagua kazi ngumu sana kuitetea Ccm ya Sasa ya akina Abdul