Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
"Macho siyo kitu iwapo akili haioni 2015 ni shangwe tu"
Vijiji vilivyonufaika na mradi wa umeme wa vijijini havipo tusidanganyane. Kama vipo vitaje hata vitano
"Macho siyo kitu iwapo akili haioni 2015 ni shangwe tu"
"Mtaji wa mjinga ni majungu" mradi wa umeme vijijini haukuwa unaweka "power plant" ili kijiji kizima kipate umeme lahasha ila ulikuwa unaelekeza maeneo maalumu muhimu (for schools, dispensaries and offices etc) for lighting, computers, fans, refrigerators(for vaccines) it distribution in off-grid areas with small power project to promote and facilitate improved services in rural areas.Vijiji vilivyonufaika na mradi wa umeme wa vijijini havipo tusidanganyane. Kama vipo vitaje hata vitano
"Taswira nzuri inajengwa kwa gharama na siyo kelele, vurugu wala matusi" umegeuka kuwa kampuni ya viwango? nyie pigeni kelele Serikali ya CCM inapiga kazi.CCM is about numbers (quantity) not quality. Wamehesabu barabara, mashule, mahospitali, vyuo vikuu n.k. Lakini hivyo vypte vina ubora unaokubalika? Ubora wa kuifanya nchi ifikie maendeleo yanayotafutwa na watanzania?
"Mtaji wa mjinga ni majungu" mradi wa umeme vijijini haukuwa unaweka "power plant" ili kijiji kizima kipate umeme lahasha ila ulikuwa unaelekeza maeneo maalumu muhimu (for schools, dispensaries and offices etc) for lighting, computers, fans, refrigerators(for vaccines) it distribution in off-grid areas with small power project to promote and facilitate improved services in rural areas.
lakini pia kwenye mradi huu zimeshanufaika kaya 200,000
-lighting in bording schools allow kids to study at night
-studies have shown that schools with solar lighting perform better in exams when compared to students in schools without electricity
-"Usianzishe vita ya mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo" na,aulizaye swali kutaka kujua si majungu....jifunze kuwa na adabu hata ukubwa japo najua hukufunzwa utotoni.
-Barabara zilizonjengwa wakati wa miaka 7 ya utawala wa Kikwete inazidi idadi ya miaka yote tangu kupatikana uhuru.
-Vyuo vikuu vilivyoanzishwa kipindi cha miaka 7 ya utawala wa Kikwete inazid idadi ya miaka yote tangu kupatikana uhuru
-Serikali inakusanya bilioni 450 za barabara ukilinganisha na bilioni 56 miaka 5 iliyopita, hivyo robo tatu ya barabara zinajengwa kwa pesa zetu wenyewe.
- Mafanikio kwenye elimu ya juu inazidi %100 ya wakati tulipopata uhuru.
"Mtaji wa mjinga ni majungu" mradi wa umeme vijijini haukuwa unaweka "power plant" ili kijiji kizima kipate umeme lahasha ila ulikuwa unaelekeza maeneo maalumu muhimu (for schools, dispensaries and offices etc) for lighting, computers, fans, refrigerators(for vaccines) it distribution in off-grid areas with small power project to promote and facilitate improved services in rural areas.
lakini pia kwenye mradi huu zimeshanufaika kaya 200,000
-lighting in bording schools allow kids to study at night
-studies have shown that schools with solar lighting perform better in exams when compared to students in schools without electricity
kama ni wanafunzi mbumbu basi ni pamoja na wewe maana inaonekana huna zaidi ya miaka 15 tangu umalize shule. wewe unapewa data hutaki na kuleta hoja uwezi unabakia kusema tu hazina ubora lete statistics siyo kupiga kelele tu. "Mti wenye matunda ndiyo hupopolewa mawe" CCM ina matunda ya kutosha.Nadhani umekariri kupita kiasi. Kwani ni kipi hakieleweki katika hayo niliyoandika?
Hizo barabara umeziona? unazijua?
Hiyo elimu unayoongelea imepata mafanikio gani ya kufaulisha wanafunzi mbumbumbu? Hivi we uko wapi?
Mafanikio kwenye sekta afya:
Tanzania ni mojawapo ya nchi duniani ambayo ilitekeleza huduma za afya ya msingi kwa mafanikio makubwa sana baada ya uhuru, hii ni kauli ya Rais wa baraza kuu la 65 la UN mwaka 2011 Bw. Joseph Deiss alisema Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano barani Afrika.
Miongoni mwa mafanikio kwenye sekta ya afya ni:
- huduma za afya zimesogezwa karibu wananchi.
- utoaji wa chanjo za kuzuia magonjwa mbalimbali bure na chanjo kuhusu mama na mtoto.
- Kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka 5.
- Huduma ya kinga ya maambukizi ya ukimwi toka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto.
- Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.
- Kupunguza malaria kwa kugawa vyandarua vyenye dawa.
- Kupunguza magonjwa yanayosababishwa na maji, magonjwa hayo ni pamoja na kipindupindu na homa ya matumbo.
- %86 miongoni mwa kaya maskini walitumia huduma za vituo vya afya vya serikali
- Utoaji wa dawa za kupunguza makali ya ukimwi bure.
- Utoaji wa tiba ya kifua kikuu na ukoma bure.
- Kutokomeza magonjwa mbalimbali ambayo hapo awali yalikuwa ni kero.
- Kuongeza ajira kwenye sekta ya afya.
- Kujenga miondombinu ya afya.
- HospitaliOcean roard imetangazwa na na tume ya nyuklia duniani kuwa ni mfano hospitali bora ya tiba ya kansa barani Afrika.
kama ni wanafunzi mbumbu basi ni pamoja na wewe maana inaonekana huna zaidi ya miaka 15 tangu umalize shule. wewe unapewa data hutaki na kuleta hoja uwezi unabakia kusema tu hazina ubora lete statistics siyo kupiga kelele tu. "Mti wenye matunda ndiyo hupopolewa mawe" CCM ina matunda ya kutosha.
Mafanikio kwenye sekta ya Afya:Duchi kuna tofauti kubwa kati ya umeme vijijini na umeme shuleni. Watu wangependa kujua wananchi wa Tanzania waishio vijijini ni lini na wao watapata maendeleo ya maji, umeme, huduma za afya na nyinginezo, hasa ukuzingatia nao wamelipa kodi ya maendeleo kwa miaka yote na hamna lolote wanaloona.
Jibu hoja kwa hoja Duchi
Sasa hapo nimejua naongea na mtu wa aina gani! Kwa kukusaidia tu hiyo miaka 15 unayoota nimekuwa ndani ya ajira. Shule niliyosoma kipindi hicho ungeandika porojo hizo ningekubali lakini siyo leo ambapo elimu ni hopeless.
Kwa taarifa yako hizo "hazina ubora" siyo za kutafuta kwani ndo tunazipitia kila siku. Sasa sijui wewe mwenzangu una mabawa? Unataka takwimu gani hapo? Nakushauri ujifunze kuona aibu japo kidogo tu. Itasaidia kubakiza heshima yako iliyosalia.
Nadhani sioni hata haja ya kuendelea na wewe..
Mafanikio kwenye sekta ya Afya:
Tanzania ni mojawapo ya nchi duniani ambayo ilitekeleza huduma za afya ya msingi kwa mafanikio makubwa sana baada ya uhuru, hii ni kauli ya Rais wa baraza kuu la 65 la UN mwaka 2011 Bw. Joseph Deiss alisema Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano barani Afrika.
Miongoni mwa mafanikio kwenye sekta ya afya ni:
- huduma za afya zimesogezwa karibu wananchi.
- utoaji wa chanjo za kuzuia magonjwa mbalimbali bure na chanjo kuhusu mama na mtoto.
- Kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka 5.
- Huduma ya kinga ya maambukizi ya ukimwi toka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto.
- Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.
- Kupunguza malaria kwa kugawa vyandarua vyenye dawa.
- Kupunguza magonjwa yanayosababishwa na maji, magonjwa hayo ni pamoja na kipindupindu na homa ya matumbo.
- %86 miongoni mwa kaya maskini walitumia huduma za vituo vya afya vya serikali
- Utoaji wa dawa za kupunguza makali ya ukimwi bure.
- Utoaji wa tiba ya kifua kikuu na ukoma bure.
- Kutokomeza magonjwa mbalimbali ambayo hapo awali yalikuwa ni kero.
- Kuongeza ajira kwenye sekta ya afya.
- Kujenga miondombinu ya afya.
- HospitaliOcean roard imetangazwa na na tume ya nyuklia duniani kuwa ni mfano hospitali bora ya tiba ya kansa barani Afrika.
kwa kifupi hayo ni mafanikio kwa uchache kwenye sekta ya afya....Sorry hivi sasa naingia kwenye kikao tutawasiliana kesho mungu akipenda kama thread hii itaendelea kuwepo na nitawamwagia mafanikio ya Serikali ya CCM mpaka niwabatize maana "ubaya huondolewa kwa wema" bye
sijaota ila ni "circumstantial evidence" inaonyesha ni wa juzi tu, umeleta thread usikimbie "Mwenye kiranga haliliwi wala halaliwi tanga" bye kwa mara nyingine nitaendelea usiku au kesho Mungu akipenda.
Kabla uhuru uzalishaji wa umeme ulikuwa ni mega wait 8 kutoka chanzo cha old pangani falls lakini hivi sasa tunazalisha mega wait 1500 toka vyanzo mbalimbali hayo ni mafanikio makubwa sana hebu piga hesabu 8 inaingia mara ngapi kwenye 1500? na miradi ya umeme vijijini kwenye mahitaji maalum kupitia REA umeonyeshwa.... "Mzuka usikuzuie kufikiri"Duchi kuna tofauti kubwa kati ya umeme vijijini na umeme shuleni. Watu wangependa kujua wananchi wa Tanzania waishio vijijini ni lini na wao watapata maendeleo ya maji, umeme, huduma za afya na nyinginezo, hasa ukuzingatia nao wamelipa kodi ya maendeleo kwa miaka yote na hamna lolote wanaloona.
Jibu hoja kwa hoja Duchi
Elly B Kweli wewe huoni. Hizo barabara, na mambo mengine Mengi ya maendeleo tunayoyashuhudia umefanya wewe? Tuache ushabiki wa vyama usio endelevu na usio na tija kama huo wako. Siku njema.