ok stay away yamekushinda mimi nitaendelea kuiongoza thread hii "Kipofu hamuongozi kipofu wenziwe" kwako wewe walio serious ni wale waounga mkono na kushabikia upuuzi na wala siyo wanaojenga hoja kwa data kwa hilo nimekuelewa. Mimi nitaendelea kumimina mafanikio ya Serikali ya CCM humo na mkome kupotosha watu.I can see umefika ukomo wa kuelewa kuona na kufikiri! Na nadhani ni muda wa mimi kukuneglect na kushughulika na wenye zao kichwani, na walio serious. Sorry
Hata hivyo nikushukuru kwani pamoja na kukosa point zenye uelekeo umesaidia kuipeleka posti juu hivyo kufanya wengine wazidi kuisoma kila siku. Asante