Baadhi ya mafanikio ya rerikali ya CCM
Mafanikio ya nchi yanapimwa kimataifa na hivi sasa kigezo kikubwa cha kupima maendeleo ya nchi ni malengo ya millennia.
Barabara: mwaka 1961 zilikuwa kilomita 1,300
- baada ya miaka 50 kilomita zilifikia takribani 6,000
- hivi sasa kilomita zimeshafikia 11,000
- mwaka 2015 inakadiliwa kufikia 18,000
- bilioni 450 za barabara ukilinganisha na bilioni 56 miaka 5 iliyopita
- kujenga miundombinu ya barabara.
Elimu: mwaka 1961 chuo kikuu kimoja
- hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 32 tunaongoza wa idadi katika EAC
- miaka 10 iliyopita tulizidiwa idadi ya vyuo vikuu na Kenya na Uganda
- kabla ya utawala wa Kikwete alikuta idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 40,000
- hivi sasa idadi ya wanafunzi ni 160,000 hii ni mara 4 zaidi
- bajeti ya %24 ya wizara ya elimu ni mikopo kwa wanafunzi hakuna nchi ya EAC iliyotoa kiwango kikubwa cha msaada kwa wananchi wake kama hivi.
- UDOM-Chuo kikuu cha serikali kikubwa zaidi katika EAC kinachukua wanafunzi 40,000 ni idadi ya uwezo wa vyuo vikuu vyote vilivyokuwepo kabla ya serikali ya Kikwete.
- kuna shule za msingi kwenye kila kata.
- Kuongezeka ajira kwenye sekta ya elimu.
- Kujenga miundombinu ya selimu
Haya ni baadhi ya mafanikio machache nimechagua sekta mbili kama mfano lakini mafaniko ni mengi sana.

Hata teknolojia na mtandao unaomwezesha achati humu upuuzi wake kwenye JF umeletwa na Serikali ya CCM
Wape hao mapimbi waelewe. Kazi yao kusema mambo wasiojua. Watolee na data za miradi inayotekeleza kupanua bandari mbalimbali, ununuzi wa meli kwenye maziwa, ujenzi wa viwanja vya ndege, fast ferri dar, na miradi ya umeme.

...hatutaki kuoneshwa maendeleo,tunataka tuyaone maendeleo wenyewe...
Kama huna masikio ya kusikia wala macho ya kuona utasaidiwaje, acha wanaoyaona wakuonyeshe.!!!
Labda ni kweli Duchi......Barabara?....Vyuo?
Mimi bado sikubaliani na wewe! Tatizo siyo barabara zenyewe, tatizo ni barabara hazina viwango tena, wala hazifanani na bajeti inayopitishwa.
Vyuo? Mikopo? Napo naona uozo wa kutosha. hakuna haja ya kujidai kuwa na vyuo kibao wakati elimu inashuka kila siku! vyuo unavyoimba ni vingapi vya serikali? Tubaki na vya seriklai kwanza.. kuna uozo mkubwa wa kulewa madaraka na vyeo kiasi cha wahadhiri kuwa miungu. Rushwa ya ngono na aina zingine za rushwa zimeshika kasi.......
Mikopo bado napo ni mizengwe. Nina ushahidi wa kutosha kuwa wanaokopeshwa ni watoto wa wenye uwezo na siyo masikini, tena kwa asilimia 100!.....Bodi haipitii fomu za maombi wala haijali vigezo. Katika hali hii kuendelea kujivunia kutoa mikopo kwa kiwango kikubwa kuliko nchi zingine wakati mikopo haiwafikii walengwa.......? And by the way what is maana ya vyuo kama elimu inaporomoka wakati nyie mnakomaa na hadithi za " shule zetu ni nzuri" mitihani ikiwa ovyo mna kuja na "kufaulisha kwa lazima" mkiulizwa solution mara " Big Results Now"! Mna tia aibu bana. Na bado unasimama bila haya na kutetea ubovu.Inaboa sana!
Kwangu naona uozo tu siyo mafanikio.Labda kama wewe umeamua kujifanya huoni hayo! Kwa kifupi nilichosema siyo kuwa CCM haijafanya kitu chochote. La hasha!. Nilichosema ni kuwa kiwango cha yaliyofanyika hakina uwiano na gharama, hivyo nisawa na hakuna. Fedha zilizopotea ni nyingi na kilichofanyika ni karibu na hakuna!
Bado hatujaongelea kufeli katika swala zima la utawala bora!
matumizi mabaya ya rasilimali ni matokeo ya mapenzi yetu kwa wanasiasa wa nchi hii, tumewageuza miungu watu...........hata kama CCM inatoka coni mabadiliko hasa katika matumizi mabaya ya pesa za umma, tunarusha helcopta badala ya kuwachimbia watu hata barabara za changalawe kwa ajili ya manufaa ya kisiasa.............tunafukuza na kupaka matope wanasiasa wenye muelekeo chanya kisa hawaendani na matakwa ya vyama vyenyewe, upendeleo umejaa katika nafac za uongozi kwa vyama vya nchi hii, propaganda, kupakana matope ndio msingi wa vyama vyetu, kupokea misaada kutoka kwa wenye nazo kumekithiri.........mi binafsi cioni mabadiliko chanya if our political system remains the same even after ccm is out of the game........Ambagae Ambagae Ambage!
Kwani ni lipi hasa halijaeleweka hapo? Kwamba nimewazushia hayo? Hawajafanya yote? au...mi ndo sikuelewi ndugu yangu. Are you proud na jinsi utawala bora wa nchi ulivyozingatia matumizi ya rasilimali zetu na kodi za Watanzania?
Nashangaa!
Mafanikio kwenye sekta ya nishati ya umeme:
- hivi sasa kuna uzalishaji wa mega wait 1500 za uhakika ndiyo maana hakuna mgao wa umeme kama inatokea basi inakuwa sababu ya dharura ya hitilafu.
- 2015 baada ya bomba la gesi kukamilika inakadiriwa kufikia uzalishaji mega wait 3000 na zaidi
- Kuna mradi wa umeme vijijini, huu kwa kiasi kikubwa ni umeme wa kutumia nguvu ya jua. Hivi sasa awamu ya kwanza ya mradi huu imeshamalizika na unaingia kwenye awamu ya pili utakao gharimu takribani shilingi bilioni 850 utakaofika mikoa yote 24 ya Tanzania bara na asilimia karibu 80 ya fedha hizo zitatolewa na Serikali yetu, hii na hatua kubwa sana kufikiwa katika nchi ya EAC
- kuongezeka ajira kwenye sekta ya nishati ya umeme.
- Kujenga miundombinu ya nishati ya umeme.
Haya ni baadhi ya mafanikio machache tu lakini makubwa ambayo nimechahgua kuyaonyesha lakini kuna mengi sana.
unaweza ukavitaja hivyo vijiji na mikoa au wilaya vilivyoko ili wasomaji waache kubeza ccm?
"Macho siyo kitu iwapo akili haioni 2015 ni shangwe tu"unaweza ukavitaja hivyo vijiji na mikoa au wilaya vilivyoko ili wasomaji waache kubeza ccm?
teh! teh! teh! teh! mkuu umesema kweli! vishatajwa vijiji watadai pia ziletwe picha ya hivyo vijiji hapa jamvi ili watu waamini teh! teh! teh!!!!!Duh! hii nayo ni kali si akitaja vijiji zitakuwa ni zaidi ya kurasa kumi? huu ni ubishi usiokuwa na maana kwani mabarabara pia yanaonekana na wanapita juu yake lakini watu bado hawakubali kama ni mafanikio, akisema vyuo vikuu 32 navyo aambiwe vitaje majina wakati vipo? akisema huduma ya afya msingi iko mpaka kwenye tarafa adaiwe taja tarafa ndiyo waamini? akisema shule za msingi ziko kila kata ambiwe taja hizo kata? huu utakuwa ni ubishi wa kibavicha
Duh! hii nayo ni kali si akitaja vijiji zitakuwa ni zaidi ya kurasa kumi? huu ni ubishi usiokuwa na maana kwani mabarabara pia yanaonekana na wanapita juu yake lakini watu bado hawakubali kama ni mafanikio, akisema vyuo vikuu 32 navyo aambiwe vitaje majina wakati vipo? akisema huduma ya afya msingi iko mpaka kwenye tarafa adaiwe taja tarafa ndiyo waamini? akisema shule za msingi ziko kila kata ambiwe taja hizo kata? huu utakuwa ni ubishi wa kibavicha