kajirita
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,575
- 635
Taswira nzuri inajengwa kwa gharama na siyo kelele, vurugu wala matusi umegeuka kuwa kampuni ya viwango? nyie pigeni kelele Serikali ya CCM inapiga kazi.
Kazi ipi ambayo CCM inapiga?Ile ya kusaidia kuiba na kusafirisha twiga?Au ile ya kulinda wauza dawa za kulevya?Au unaongelea ile ya kubaka wake za watu kule Mtwara?Aah utakuwa unaongelea ile ya kumuua Mwangosi?Nimekumbuka unamaanisha ile ya kuvunja katiba kwa kusema watanzania 'wapigwe tu' kwa kuwa wana mawazo tofauti na wao?
Aaaagh!Kama ndo kazi unazomaanisha hizo,basi wewe una MAHABA ya KIUWENDAWAZIMU!
Kaozee mbali na UOZO Wako CCM!