Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Kuna kada wa CCM katuma thread akidai eti CCM haihusiki Na Sakata la Mchanga wa dhahabu.Hakika binafsi namshangaa kada huyo wa CCM .Serikali iliyokuwa madarakani mpaka ilipo madaraka imeundwa Na CCM.Watendaji walioandaa mikataba mibovu iliyosababisha wizi mkubwa ni makada wa CCM .Bunge letu pamoja Na wabunge wa upinzani CCM INA wabunge wengi ambao uwingi wao wamekuwa wanautumia kupitisha miswada tata Kwa maslahi ya CCM ili kuilindi Serikali ya CCM.Leo CCM inakwepea wapi?