Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Wadau kumekuwa Na mjadala Juu ya CCM kuhusika Na sakata la mchanga wa dhahabu au la.Binafsi naamini CCM umehusika kwa kiwango kikubwa kama Chama kilichounda Serikali.Naomba tuchangie hoja hii ili isaidia kupunguza siasa kuchukua nafasi kwenye uchumi wetu.