nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,934
- Thread starter
-
- #61
Morogoro wakuu wa shule wakiulizwa kwanini joining Instruction hazikuonesha mchango wa madawati?Iringa huku Dawati limeandikwa kwa pen sio mashine kama maandishi mengine ama kweli wanasiasa Mungu anawaona
Hebu niconvice, wewe unapowalamba makalio unapata Radha tamu?Unataka uyale?
You have low thinking capacity.Sit down and learn first then come to argue with me!Kujibizana na wewe najidhalilisha.Hebu niconvice, wewe unapowalamba makalio unapata Radha tamu
Rejea ahadi kampeni za ccm uchaguzi mkuu uliopita: 'Tutaigeuza tanzania iwe kama Ulaya' Arusha waliahidiwa: 'Arusha itakua kama California'. Kwa wasio na abc za California, ni jimbo lenye uchumi mkubwa kuliko majimbo yote America. Ni mkubwa kuliko uchumi wa Canada kwa mfano. Wakati yunaahidiwa Tanzania kuwa ulaya nyingine hatukuuliza vipi milioni hamsini kila Kijiji, vipi laptop kwa kila mwalimu, vipi elimu bure iliyoahidiwa 2015 et. Sasa tunakumbuka shuka kumekucha.Mmmmmm elimu bure iko mkoa gani? Mbona Mza ndo michango imepamba moto? Nimepeleka mtoto kuanza f1,lim paper 12,000,dawati 60,000, cement mifuko 5x23000=115,000, sweta lazima 15,000 tia lazima 5000, chakula 25,000 kwa mwezi,twisheni 10,000 bad o maintain ya lazima kama daftari,sketi,sheti na viatu.
Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
CHA BURE NI HEWA TU! Kama uliaminishwa na "matapeli wa ccm" kuwa eElimu bure zinduka.Lilikuwa changa la macho kama ilivyokuwa kwa "kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya".Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Elimu bure Tanzania ya sasa HAIWEZEKANI na wala HAIPO, wanasiasa wanadanganya tu kwa ajili ya kuwa ghilibu Watanzania.Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Nakumbuka shule za msingi kulikuwa na maktaba, kulikuwa na vitabu vya masomo yote na kwa idadi ya wanafunzi mliopo darasani.Elimu bure Tanzania ya sasa HAIWEZEKANI na wala HAIPO, wanasiasa wanadanganya tu kwa ajili ya kuwa ghilibu Watanzania.
Ni ujinga na undezi wa hali ya juu kuita ní elimu bure eti kwa kuwa ule mchango wa Tsh 20,000 umeondolewa.
Wakati wa JK Nyerere ndiyo kulikuwa na elimu bure ambapo ilihusisha ada za Shule, madaftari na peni, vitabu, nauli. Kwa vyu vikuu ilihusisha pia posho ya mwezi na chakula cha canteen.
Wazazi wetu walikuwa wanawajibika kutupeleka shule na kutupatia mavazi tu. Mengine yote ilikuwa ni jukumu la serikali.
HII ya Magufuli ni maumigizo tu
Umeliweka vizuri sana, hongera. Halafu kuna mapimbi wanasema eti Meko anafuata nyayo za Nyerere. Hiyo ni matusi kwa Baba wa TaifaNakumbuka shule za msingi kulikuwa na maktaba, kulikuwa na vitabu vya masomo yote na kwa idadi ya wanafunzi mliopo darasani.
Monitors wanikuwa wanaangalia ratiba kujua SoMo linaanza au linafuata.
Anaenda chukua vitabu vya SoMo husika anagawa kwa Kila mwanagunzi.
Daftari likiisha unapelekwa kwa mwalimu was Somo hilo,anasaini unapeleka kwa mwalimu anayehusika na store anakupatia jipya.
Kila mwaka wanafunzi mnapelekwa bohari kubeba vifaa vya kufundishia na maftari
Saa nne mnapata bluga la nguvu.
Ukiingia sekondari unasafiri kwa warrant ya serikali. SHAAABASH HUYO NDIYE JULIAS
Mwalimu Julius alifanikiwa kupambana na adui
Ikumbukwe wakati kulikuwa na magonjwa ya mlipuko, surua, ndui na ukoma.
Surua na ndui ziliua sana has a watoto.
Mwalimu alileta chanjo mashuleni, wakati huo vituo vya afya havikuwepo hivyo hats siyo wanafunzi walienda kupatia chanjo hapo.
Ikumbukwe pia wakati huo raslimali za taifa hazikutumika Kama ilivyo Sasa.
Madini tulikuwa na mgodi was Almad tu Mwadui,
Utalii ulikuwa mdogo Sana, hatukuwa na wawekezaji Kama sasa
Hatukuwa na uvuvi wa kimataifa au mkubwa Kama Leo hii
Uvuvi ulifanywa na serikali TACOSHIRI.
Tulitegemea Kodi za kichwa na kilimo Cha mazao ya biashara.
1. Mikoa ya pamba(usipokuwa na shamba la pamba mahakamani) mnunuzi serikali
2. Mkonge,( mkulima serikali)
3.chai(mnunuzi serikali)
4. Kahawa( mnunuzi serikali)nk
NATIONAL MILLING,
Lilikuwa shirika la serikali lilisaidia kununua mahindi ya wakulima
GAPEX,
Shirika la serikali la kuuza mazao nje ya nchi.
1. Ufuta
2. Mtama
3. Korosho
4 . Mazao yote yatokanayo na misitu ikiwemo asali
Serikali ilikuwa na pesa za kuendesha Mambo yake.
Nyakati hizi zinapesa kuliko wakati ule,CCM MNAKWAMA WAPI,?
Angekuwa na mtoto angeshaelewaSiasa tu hizo.Uhalisia ukipeleka mtoto shule.
Peleka dawati mwanao akalie acha kulalamikia.Kumwambia mwananchi apeleke mtoto akiwa na dawati huo siyo mchango?
Ukiwa meana ccm, akili inatokea nyuma kwa chiniPeleka dawati mwanao akalie acha kulalamikia.
Serikali inaleta siasa kwenye elimu,.Tatizo la serikali ya awamu ya tano ni kushindwa kueleza/ kutafasili sera zake kwa wananchi. Serikali inajua haiwezi kujenga madarasa yote nyumba zote za waalimu na madawati kwa wanafunzi wore wa msingi na sekondari bila msaada au mchango toka kwa jamii. Serikali hi ina mambo mawili (1) propaganda kuwaambia wananchi kila linalofanyika limefanwa au na rais au ccm (pole pole) ikishindikana Kama ilivo. sasa basi nguvu za wakuu mikoa/wilaya ambao hawana bajeti . Michango ya nguvu toka kwa wananchi. Hapo rais na ccm hawatajwi ili kutovuruga utamu wa propaganda.