Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,630
Unataka mtoto akae chini? Acha kulialia ndugu changia maendeleoSaalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Tulieni dawa iwaingieDuu!! Aisee!!
Je hali halisi nayo ipo je?Michango imepigwa marufuku!
Kodi siyo mchango wa maendeleo?Unataka mtoto akae chini? Acha kulialia ndugu changia maendeleo
Kuwa na akili zuzu wewe, serikali inapesa zake yenyewe Kama siyo Kodi na raslimali zetu?PAMOJA NA JUHUDI ZA SERIKALI KUKUPUNGUZIA GHALAMA UNAKAA KUTAFUTA SEHEMU ZA KUPONDA NA KULALAMIKA. UWE NA SHUKRANI ELIMU BURE IMEONGEZA IDADI YA WATOTO WANAOWEZA KUSOMA. HIO MICHANGO MIDOGO TU KULETA DAWATI NI KUSAIDIANA NA SERIKALI ILI KUWEZA KUFANIKISHA WATOTO WETU WAPATE ELIMU. KUWENI WAZALENDO BASI. WAZAZI WENGINE WAMEJITOLEA KUJENGA MADARASA SEHEMU PUNGUFU PAMOJA NA WAKUU WA WILAYA NA HAWAPIGI KELELE MTANDAONI
Wewe unalamba makalio unapoza njaa wapo wanaccm wanaumia kuliko unavyofikiriaTulieni dawa iwaingie
UMECHANANIKIWA NA NJAA WEWE, SERIKALI INAKUSANYA HELA NA NDIO INA MAJUKUMU MAKUBWA NA MAGUMU YA KUHAKIKISHA KILA SEHEMU INA MAENDELEO, HAIWEZI IKAMFURAHISHA KILA MTU NA NI JUKUMU LETU WANANCHI KUISAIDIA . YAANI KITU KIDOGO KAMA DAWATI UNALIALIA ?????????Kuwa na akili zuzu wewe, serikali inapesa zake yenyewe Kama siyo Kodi na raslimali zetu?
Eti kuisaidia serikali!! Kweli ukiwa ccm akili zinahamia tumboni kilichoko tumboni kinahamia kichwani
Unaona uzwazwa uliona!UMECHANANIKIWA NA NJAA WEWE, SERIKALI INAKUSANYA HELA NA NDIO INA MAJUKUMU MAKUBWA NA MAGUMU YA KUHAKIKISHA KILA SEHEMU INA MAENDELEO, HAIWEZI IKAMFURAHISHA KILA MTU NA NI JUKUMU LETU WANANCHI KUISAIDIA . YAANI KITU KIDOGO KAMA DAWATI UNALIALIA ?????????
UNALIPA KODI GANI WEWE KAMA SIO KELELE TU WALIPA KODI WAKUBWA WALA HUTAKAA UWASIKIE WANAPIGA BLAH BLAHUnaona uzwazwa uliona!
Inakusanya pesa kutoka wapi?
Unashabikia upumbavu kwa ajili ya kujishibisha, hata point za kujibu huna
Mpumbavu ukimtwanga na ngano kinuni, ngano itaiva upumavu wake hautamtokaUNALIPA KODI GANI WEWE KAMA SIO KELELE TU WALIPA KODI WAKUBWA WALA HUTAKAA UWASIKIE WANAPIGA BLAH BLAH
HUNA HOJA UNABWEKA TU NA MATUSI . HII NI SERIKALI YA MAGUFULI NA NYIE PINGA PINGA TU HAMNA HOJA MMEISHIWA.Mpumbavu ukimtwanga na ngano kinuni, ngano itaiva upumavu wake hautamtoka
Lamba tu makalio
Si wamepata connection ya wabunge?Wewe unalamba makalio unapoza njaa wapo wanaccm wanaumia kuliko unavyofikiria
Biblia imesema mpumbavu ukimtwanga kinuni na ngano, Hilo siyo tusi,HUNA HOJA UNABWEKA TU NA MATUSI . HII NI SERIKALI YA MAGUFULI NA NYIE PINGA PINGA TU HAMNA HOJA MMEISHIWA.
Nikushangae wewe unayewaamini CCM.Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Mmmmmm elimu bure iko mkoa gani? Mbona Mza ndo michango imepamba moto? Nimepeleka mtoto kuanza f1,lim paper 12,000,dawati 60,000, cement mifuko 5x23000=115,000, sweta lazima 15,000 tia lazima 5000, chakula 25,000 kwa mwezi,twisheni 10,000 bad o maintain ya lazima kama daftari,sketi,sheti na viatu.Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Iringa huku Dawati limeandikwa kwa pen sio mashine kama maandishi mengine ama kweli wanasiasa Mungu anawaonaSaalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Unataka uyale?Wewe upimwe na mavi,