CCM: Dr. Slaa awekwe 'busy'

Unajua tatizo la CCM, wakati mwingine mikakati yao huwa inawabomoa wao badala ya kubomoa chadema. Kwa wenye macho wameishaona jinsi hoja ya card ya ccm ya dk slaa ina maswali mengi. Hivi kutoa hoja hiyo hadharani inawasaidia nini. Imeonyesha wanavyopokea ada hata za wasiokuwa wanachama. Kama kweli Hii inawezekana ni kwa sababu ya kupenda hela.

Kama ni kweli, inaonyesha hila walizo nazo za kuua upinzani. Kuweka vipandikizi ndani ya vyama pinzani badala ya kutatua kero za watu ili ccm izidi kupendwa. Inaonyesha Dk Slaa alivyo mwiba kwa ccm, wanatafuta kumuharibia jina badala ya kujibu hoja za CDM.
Hivi kulikuwa na kuna haja gani ya kusema sema hadharani badala ya kumwomba arudishe kadi yao na kumfuta uanachama maana ameasi chama na kuvunja katiba ya ccm. Ukitaka kuficha upumbavu wako achana na kusema sema mengi, unaposema mengi ni rahisi kujichanganya na wenye macho wakakuona kiazi.
 
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.

Akibanwa center forward, kocha mzuri anafungulia flanking attackers au mabeki washambuliaji! watahangaika sana hawa kina Hot air.
 
Huku kikiwekwa roho
juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula
sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya
kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za
majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu
na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za
CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima
atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape
Nnauye alikuwepo jana.

Mkuu ukiendelea kushambulia kwa sasa mtasababisha magoli mengi, defence yenu CDM imekatika na maforwad wenu wamerudi nyuma. Hivyo watchout
 
Hakika wata angaika sana tena sana!
Tunajua wana muogopa sana dr!

Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
 
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.

Una maana gani "kumweka Busy"?

Mkuu wa mashetani aliitisha semina elekezi kwa mashetani wote Duniani na katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo alisema:-

"Tumeshindwa kuwazuia WANADAMU wasiende kwenye nyumba za IBADA" Tumeshindwa kuwazuia wasisome VITABU vyao vitakatifu na kufahamu ukweli"

Tumeshindwa hata kuwazuia wasiwe na mapenzi ya kweli kwa MITUME yao " "Mara wapatapo muungano wa kweli kwenye MAHUBIRI ya DINI zao, mamlaka yetu yatakuwa yamefika mwisho."

Kwa hiyo kuanzia sasa waacheni waende kwenye nyumba zao za IBADA, waacheni waendelee na karamu zao za upendo. LAKINI waibieni muda, ili wasipate nafasi ya kudumisha IBADA za kweli kweli kwa MOLA WAO MUUMBA...."

"Hiki ndicho ninachotaka mfanye." Alisema Mkuu huyo wa Mashetani:

"wataabisheni WANADAMU WOOTE wasipate kamwe kushikamana na DINI zao na wasifungamane katika KUMCHA MUNGU"

"Tutafanyaje jambo hilo?" mashetani yalimwuuliza kwa jazba. Shetani Mkuu aliwajibu:

"hakikisheni wanakuwa 'BUSY' (BUSY= Being Under Satan's York ) katika mambo yasiyokuwa na umuhimu katika maisha yao na muwanzishie mipango mingi sana isiyohesabika ili kujaza akili na ufahamu wao.

"Shindilieni habari na matukio mbalimbali ndani yafahamu zao kwa muda wa masaa 24."
 
huku kikiwekwa roho juu na harakati za chadema kujiimarisha hadi vijijini,ccm imeapa 'kula sahani moja' na dr. Slaa,katibu mkuu wa chadema. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya ccm vimeapa kumweka 'busy' dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa katibu mkuu. Hoja ziwe ni kadi za ccm,zitto na urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema mjumbe wa cc kwenye kikao ambacho hata nape nnauye alikuwepo jana.

ya kwao watayafanya saa ngapi? Hawaoni watacreate gap kwenye utendaji wao?
 
Huyu Mzee TupaTUPA ni mzushi.nimefuatilia thread zake kama nne zote si za kweli.anasema kikao cha cc wakati kwa sasa ccm haina cc.tuwe makini na huyu mtu
 
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.

Narudia tena.. Docta Slaa sio Tatizo, Pia CHADEMA sio tatizo either. Tatizo ni CCM imeshindwa kutuletea Maisha bora ndani ya kipindi cha Miaka Hamsini.

Walishachelewa nafasi yao na sasa Watanzania wameamua kuwapa fursa CHADEMA japo kwa miaka michache ijayo.

Kama wanaweza kufanya Miracle ndani ya hii miaka miwili, then bahati kwao.
 
Unajua tatizo la CCM, wakati mwingine mikakati yao huwa inawabomoa wao badala ya kubomoa chadema. Kwa wenye macho wameishaona jinsi hoja ya card ya ccm ya dk slaa ina maswali mengi. Hivi kutoa hoja hiyo hadharani inawasaidia nini. Imeonyesha wanavyopokea ada hata za wasiokuwa wanachama. Kama kweli Hii inawezekana ni kwa sababu ya kupenda hela.
Kama ni kweli, inaonyesha hila walizo nazo za kuua upinzani. Kuweka vipandikizi ndani ya vyama pinzani badala ya kutatua kero za watu ili ccm izidi kupendwa.
Inaonyesha Dk Slaa alivyo mwiba kwa ccm, wanatafuta kumuharibia jina badala ya kujibu hoja za CDM.
Hivi kulikuwa na kuna haja gani ya kusema sema hadharani badala ya kumwomba arudishe kadi yao na kumfuta uanachama maana ameasi chama na kuvunja katiba ya ccm.
Ukitaka kuficha upumbavu wako achana na kusema sema mengi, unaposema mengi ni rahisi kujichanganya na wenye macho wakakuona kiazi.

maelezo meeengi, swali kama amekiri kuwa anayo kadi ya ccm kama 'kumbukumbu' kwanini anawahadaa wengine wasiwe na 'kumbukumbu' hii kwa kukusanya kadi zao za ccm?
 
Mtabaki kumtetea mtu hata kama hana sifa za uongozi kama vile maadili, utendaji nk!
Hivi Chadema hakuna anaefaa kuwa Katibu Mkuu zaidi ya Slaa? mbona kuna vijana hodari na wachapakazi wenye maadili kama Zito Kabwe?
Chadema kinahusishwa na udini na ukanda! Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992 akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya Pili!

kama mnataka kufuta hisia za kidini Chadema hamna budi kumsimamisha Mgombea urais mwingine mwenye sifa za uongozi!
Slaa ni msalaba wenu na mkiendelea kumlea na kumuenzi, basi mjue Chadema itafia mikononi mwake!

Kwa mdau kama wewe soma hii methali "NYANI HAONI KUNDULE LAKE"
 
Udini upo ccm, mbona DOCTOR SLAA anawaumiza sana vichwa? CHADEMA ni chama cha umma siyo cha kama ccm ambacho ni chama cha wenye pesa
 
Mtabaki kumtetea mtu hata kama hana sifa za uongozi kama vile maadili, utendaji nk!
Hivi Chadema hakuna anaefaa kuwa Katibu Mkuu zaidi ya Slaa? mbona kuna vijana hodari na wachapakazi wenye maadili kama Zito Kabwe?
Chadema kinahusishwa na udini na ukanda! Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992 akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya Pili!

kama mnataka kufuta hisia za kidini Chadema hamna budi kumsimamisha Mgombea urais mwingine mwenye sifa za uongozi!
Slaa ni msalaba wenu na mkiendelea kumlea na kumuenzi, basi mjue Chadema itafia mikononi mwake!

Kama Slaa ni msalaba kwetu tutaendelea kuubeba kama vile Yesu alivyobeba msalaba wake mwenyewe. Wewe hayo yasikuhusu. Tuachie wenyewe msalaba wetu.
 
...Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992 akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya Pili!
Usiwe mnafiki. Slaa na Lowassa umewataja kwa majina Alhaji Mwinyi hujamtaja umemficha kwenye kichaka cha 'serikali ya awamu ya pili'. Mijitu mingine bora ingezaliwa Minguruwe wengine tuboreshe vitambi!
 
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.

Nafikiri strategy hii ya CCM itakula kwa CCM kwani Dr Slaa ndio kwanza anapenda kuwa busy kupambana na CCM, laiti CCM wangejua, wangetekeleza zile ahadi alizotoa raisi Kikwete mwaka 2010...walau ajenge zile stop over za Ubungo na Migomigo ukanda wa Gaza, hapo watakuwa wamemmaliza kabisa Dr Slaa, kinyume na hapo inabidi wajiandae kufungia mitandao ya kijamii kama usokitabu na njiwa
 
Huyu Mzee TupaTUPA ni mzushi.nimefuatilia thread zake kama nne zote si za kweli.anasema kikao cha cc wakati kwa sasa ccm haina cc.tuwe makini na huyu mtu
Unajua kuwa kuna wajumbe wanaingia CC kwa nyadhifa zao? Mwenyekiti naye si mmoja wa CC? Wewe ni mmoja wa vijana wavamizi CCM. Unapenda rangi tu. Humu chamani,huniwezi.
 
nape ni media darling.
Kwa sasa chadema iendeleze harakati vijijini ili tukomboe nchi 2015
 
It is too late and too wrong for CCM to fight against Dr.Slaa.
Kuna vichwa vingi sana kwa sasa ndani ya CHADEMA vinafanya harakati kubwa sana za ukombozi wa nchi yetu kwa sasa.

they re too novice too to grasps the bigger picture.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Ni ukweli usiopingika kuwa bila ya Dr Slaa, CHADEMA ingeingia kaburini rasmi 2010. Ni slaa ameiinua CHADEMA juu zaidi. Ninashauri sasa Dr. Slaa apewe uenyekiti wa chama, Zitto Kabwe awe katibu mkuu na Mbowe abaki tu mlezi wa chama kama alivyo Ndesamburo. Ni maoni yangu tu. Karibuni wadau mchangie maoni yenu. Mods please hii thread naomba msiiunganishe na zingine.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
Back
Top Bottom