CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

By DAILY NEWS Reporter, 24th March 2010

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) will pick its presidential candidate between July 16 and 17, this year. The party's Vice-Chairman (Mainland), Mr Pius Msekwa, told journalists shortly after the Party Secretariat meeting with the National Party Chairman, President Jakaya Kikwete, at the CCM sub-head office in Dar es Salaam yesterday.

The closed-door meeting that lasted for three hours discussed various issues including preparations for the October general elections, he said. Mr Msekwa said the meeting that was also attended by the Secretary General, Mr Yusuf Makamba, Deputy Secretary General (Mainland) Mr George Mkuchika, and all heads of the party's departments discussed modalities and timetable for CCM preliminaries.

"The president visited Lumumba offices to attend to routine party duties, preparations for the general elections in particular," Mr Msekwa noted.

Unlike in the past when the party's caucus meetings and other important party issues were discussed at the State House, Mr Msekwa said the chairman has preferred to convene at his office at Lumumba.

Yesterday's meeting, according to Mr Msekwa, charted out how the party's primaries to choose candidates for the October general election would be carried out. This year, he said, every party member would be liable to participate in the exercise.

"We will draw up a tentative timetable to be approved by the Central Committee showing when the candidates would hold party preliminary campaigns and the opinion polls," he added.

Mr Msekwa said the party's primaries would be carried out in a single day whose date would be announced later.

Thereafter, he said, the names of aspirants would be vetted at the district and referred to the regional level before submission to the National level for final approval. "We shall ensure that CCM members are prepared to take up the challenges of the new law," Mr Msekwa said.
 
- The dataz ni kwamba wiki nzima hii Muungwana amekuwa akifanyia kazi Lumumba na bila kusema na mtu, ndio maana tunasema kuna jambo huko linakuja, au?

Respect.

FMEs!

Hivi inaruhusiwa kwa mujibu wa katib yenu jamaa kuwa na agenda bila kuwataarifu wajumbe au viongozi wengine wakuu wa chama chenu?
 
Kuna mambo mengine yakiendelea sana hata kipofu huwa anahisi lipo jambo. Siamini kabisa hawa viongozi hawajui hali halisi ilivyo. Kinachowashinda ni ujasiri wa nani atakaye mvika paka kengele. Ipo siku yaja kuna kiongozi atakayethubutu. Huyo ndio atabadili mwelekeo mzima wa siasa za Tanzania. Hata JK akiamua hilo ataliweza.Ni hiari yake mwenyewe kuamua jinsi historia itakavyomtukuza au kumuhukumu kwa matendo yake!
 
Hivi inaruhusiwa kwa mujibu wa katib yenu jamaa kuwa na agenda bila kuwataarifu wajumbe au viongozi wengine wakuu wa chama chenu?

- Mkuu vipi tena badala ya hoja yamekua haya ya chama chenu? Mbona kuna wakati huwa mnafukuzana bila viongozi wenu wote kuarifiwa? Vipi tukijadili hoja badala ya kuendelea kua part of the problem na maneno ambayo hayawezi kulisaidia taifa?

Respect.

FMEs!
 
- Bado tuna the Dibibis wawili humu JF, najua na wao siku inakuja karibuni sana, Bwa! ha! ha! ha! ha! ndio tutajua kama walikuwa wanatumwa na wazazi au waliwasikia tu kwa mbali Ha! ha! ha! ha! JF where we dare tutawafunua soon unless wamejifunua wenyewe ingawa wengine tayari wameshaanza, wewe mbunge maarufu kijana angalia sana hawa viajanw wawili maana tunajua kuwa huwa wanakufuata fuata lakini wewe huwajui watakuharibia jina bure maaluni hawa! Bwa! ha! ha! ha!

FMEs!

Umeshaanza viroja, hukomi tu?
 
i wish wangekuwa wanaita vikao vya dharula kama hivi kuhusiana na matatizo yanayo kabili taifa letu hivi sasa badala yake vikao vya dharula vinaitwa kwenye mambo ya chama chao ya sio kuwa na msingi zaidi ya kukubaliana kulindana zaidi.
 
Naona kumekucha sasa.tuombe mungu tunayoyatarajia yatokea hata kama ni kuahirisha uchaguzi.Cha muhimu ni kuweka mambo sawa na nchi itawalika na wenye hofu ya mungu,.Ninachoona viongozi waamemsahau mungu ndio maana tumefika hapa tulipo sasa.
 
- Mkuu vipi tena badala ya hoja yamekua haya ya chama chenu?

Mbona kuna wakati huwa mnafukuzana bila viongozi wenu wote kuarifiwa?

Vipi tukijadili hoja badala ya kuendelea kua part of the problem na maneno ambayo hayawezi kulisaidia taifa?

Respect.

FMEs!

Samahni kama nimekukwaza.Naona hatujaelewana...Pole
 
Tujadili mambo yaliyoandikwa katika ''Mwananchi'',''Nipashe'',''Raia Mwema'',''Majira'',''Uhuru'',''Habari Leo'',''The Guardian'',nk.
Hakuna sababu ya kujadili hizi speculation.
Heshima kwako mkuu,
unapaswa ukumbuke huko ulikopendekeza tujadili wakati mwingine source zao za habari ni JF wanachofanya baada ya hizi tetesi ni ufuatiliaji wa kina ili kujiridhisha na ili wasiingie mkenge ki taaluma na kimtaji, waionaje hii hoja?
 
Umeshaanza viroja, hukomi tu?

- Mkuu umenichekesha sana leo, yaani yamekukuta mpaka huko uliko? wallahi kula tano yangu, Bwa! ha! ha! ha! ha! I mean this is hillarious Ha! ha! ha! ha! kweli kwenye ukweli uongo hujitenga yaani yamekukuta mpaka huko kwenye mazoezi ya Yankees! Ha! ha! ha! ha!..hggguuurrr ha! ha! ha!.walete hao...! lol!

Es!
 
- Wa-Tanzania tufike mahali ni lazima tu-pay attention kwa what we have na sio what we do not have, CC na NEC za CCM, Chadema na CUF siku zote lazima ziwe our national news, kwa sababu kwanza wote wameanzia TANU, halafu wote wanaamini in Mwalimu baba wa taifa letu.

- Sasa ni muhimu tukatafuta habari za kuelekea kwenye hivi vikao kulikoni kuliko jazba na ngonjera, wastaarabu wote hawakatai wito, huwa wanakataa jambo baada ya kusikiliza wito kwanza, we are responsible kuwa hapa tulipo sasa tusisingizie wengine, tubebe msalaba understanding kwamba tunajua tunataka nini na hatutaki nini kutoka hivi vyama vyetu!

- Hakuna anayelipwa na mtu hapa kuleta habari, wote tunajitolea tu kupashana habari na kufahamishana kinachoendelea, kama hii thread unaona ni waste of your time si kubadili channel tu na ndio Demokrasia yenyewe!

Respect.

FMEs!
 
Sijakata tamaa na JK ingawa hali ya uongozi wake inakatisha tamaa kila mtanzania mwenye matagemeo. I believe JK atafanya maamuzi ambayo hayajawahi kutokea tangu tupate uhuru. I believe mafisadi wamemshika pabaya sana na sasa yuko tayari kukubali fedheha kuliko kuendelea kujipakulia lawama za wananchi juu ya mafisadi.

JK sasa anafahamu fika kwamba mafisadi sasa wanafanikiwa kuteka JWT kwenye kambi yao.....patamu, tusubiri. JK will act...very soon.

JK yuko the way forward, ila ni sisi tu watanzania hatujui nini tunataka, wakati gani na kwa nini
 
Sijakata tamaa na JK ingawa hali ya uongozi wake inakatisha tamaa kila mtanzania mwenye matagemeo. I believe JK atafanya maamuzi ambayo hayajawahi kutokea tangu tupate uhuru. I believe mafisadi wamemshika pabaya sana na sasa yuko tayari kukubali fedheha kuliko kuendelea kujipakulia lawama za wananchi juu ya mafisadi.

JK sasa anafahamu fika kwamba mafisadi sasa wanafanikiwa kuteka JWT kwenye kambi yao.....patamu, tusubiri. JK will act...very soon.

- Mkuu hapa tupo pamoja sana, ninaamini something is coming maana sasa Muungwana hana anything to lose wala ku-gain maana U-rais wake umeshahukumiwa tayari na term ya kwanza,

- Na tayari ameshazipiga chini mbio za Karume kutaka term ya tatu, tena amezimaliza huki akicheka kama kawaida yake, lakini mtu anaungua muulize Lowassa! Kwani nani aliyemtema?

Respect.

FMEs!
 
- Wa-Tanzania tufike mahali ni lazima tu-pay attention kwa what we have na sio what we do not have, CC na NEC za CCM, Chadema na CUF siku zote lazima ziwe our national news, kwa sababu kwanza wote wameanzia TANU, halafu wote wanaamini in Mwalimu baba wa taifa letu.

Mkuu FMES, CCM hawafuati nyayo za baba wa Taifa; that's is very clear.
 
Back
Top Bottom