CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..


Kura yako unaipiga wapi 2015 au we ni banyamulenge haupigi kura?
 
Kura yako unaipiga wapi 2015 au we ni banyamulenge haupigi kura?

i suppose to defend my interest aisee
kwa nguvu zote..

unaniulizaje kuhusu kura yangu?
read my heading above
 
CCM haina watu kama wewe, upo peke yako
 
Kwani chama kikishindwa uchaguzi ndio kinakufa?

Chama cha Mapinduzi hakipo kingekuwepo madarakani hata CDM isingekubalika...kilichopo ni Dola iliyojivika nguo za Kijani na kujiita CCM na kuachukua yale yote ya CCM na kuyaita yakwake, ndio maana leo polisi wanaishi km miungu watu, uhamiaji wanaweza wakakuita wewe ni raia wa Chile na ikakubalika, Mahakama inaweza ikakuhukumu hata km jina la mtuhumiwa si lako, Waziri mkuu anaweza akaamrisha wananchi wake wauawe bila woga eti amechoka (sijui kwanini asijiuzulu wenye nguvu waendelee), rais anaweza akajenga hoja kuwa safari ndio msingi wa maendeleo ya nchi na ikakubalika, Mawaziri wana gawana wapi pa kuchukulia hela na kushindana na kajenga nini au kanunua gari gani, wanachama wa CCM ndio wananchi halali wa taifa hili wengine woote risasi ni halali yao....!
 
je umekubali kuwa msukule wa CCM hadi kifo kiwatenganishe?
 
lakini umeongea uhalisia wako,
Kifo cha CCM ni kifo cha wengi,msiba mkubwa sana
 
lakini umeongea uhalisia wako,
Kifo cha CCM ni kifo cha wengi,msiba mkubwa sana

Ila kina Nape wanatumia power sana kujikweza na kujiandaa kwa maisha baada ya kifo cha CCM
Tutalia wengi
 

hapo kwenye red siyo ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…