Habari!
Binafsi hili vuguvugu la kuiponda ccm na kuiona haifai linaniumiza sana,
Nimezoea kula bure (kula kwa kupitia deals).
Nasafiri bure (nadhani hapa ni kwa kodi za walala hoi).
Chochote nitakacho napata kwa sababu CCM ipo madarakani, rafiki zangu kibao wamepata ajira kubwa kubwa regardles ujuzi wao mdogo na elimu yakuunga unga walionayo,(wawili wapo bandari, wanne wapo maliasili) just because ccm ndiyo wameshikilia dola.
Nina magari zaidi ya mawili, i got them kwa sababu tu ccm iko madarakani.
Ninavyosikia juu ya kufa kwa CCM naweweseka sana jamani.
Ila ninaamini CCM wakishindwa 2015.
Tupo wengi sana tutakao kuwa maskini, si mimi peke yangu.
Machale yananicheza sana.
Akina riz washajiwekewa njia m'badala yakujinasua endapo chama hakitaingia madarakani 2015.
Tunapambana kwa kila njia kwa maslai yetu, umaskini si mzuri jamani!
Maisha yakupanda bodaboda na kugombania daladala ni magumu jamani.
Nitafurahi ccm isipokufa niendelee kuishi kwa ubwerere.
Hata wenzangu nao watafurahi..
Nape chukua hii, maana we ni una utajiri wa Matusi tu, hata vi-miradi vya mbogamboga sijui kama unavyo
We fanya Mzaha, utakufa kweli.
Mh. ukweli unakuweka huru, ila mambo ya siasa kama unavyoyashuhudia tafakari chukua hatua
Kwani chama kikishindwa uchaguzi ndio kinakufa?
Bora chama kife na nyie mfe,wezi wakubwa nyie.
Ccm haijakupa mume?!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mimi naomba sana utangulie wewe na ssm ndiyo ifuate maana bila kufa ssm wote haiwezi kufa! ila watakufa maana ina mtaji wa wazee tupu!
Nahisi una pre-tend,lakini vyovyote iwavyo tambua kwamba hata wenye mapepo hujiona wanafaidi na wengi hfaidi kwa mapepo yao wakiwemo waganga wa kienyeji na wapiga ngoma za mashetani, hao wote hupata mlo wao na kusomesha watoto wao kwa kuwafurahisha na au kuwahakikishia makao salama mashetani walio ndani ya kiumbe binadamu mwema ambaye huteswa bila mwenyewe kujijua!Habari!
Binafsi hili vuguvugu la kuiponda ccm na kuiona haifai linaniumiza sana,
Nimezoea kula bure (kula kwa kupitia deals).
Nasafiri bure (nadhani hapa ni kwa kodi za walala hoi).
Chochote nitakacho napata kwa sababu CCM ipo madarakani, rafiki zangu kibao wamepata ajira kubwa kubwa regardles ujuzi wao mdogo na elimu yakuunga unga walionayo,(wawili wapo bandari, wanne wapo maliasili) just because ccm ndiyo wameshikilia dola.
Nina magari zaidi ya mawili, i got them kwa sababu tu ccm iko madarakani.
Ninavyosikia juu ya kufa kwa CCM naweweseka sana jamani.
Ila ninaamini CCM wakishindwa 2015.
Tupo wengi sana tutakao kuwa maskini, si mimi peke yangu.
Machale yananicheza sana.
Akina riz washajiwekewa njia m'badala yakujinasua endapo chama hakitaingia madarakani 2015.
Tunapambana kwa kila njia kwa maslai yetu, umaskini si mzuri jamani!
Maisha yakupanda bodaboda na kugombania daladala ni magumu jamani.
Nitafurahi ccm isipokufa niendelee kuishi kwa ubwerere.
Hata wenzangu nao watafurahi..
Mh!labda tulioko chini tutasogea juu na kuwa na maisha yenye usawa!kupanda boda2 na kugombania dala2!natamani ife hata kesho!pole sn mpendwa maana mko wengi mtakaokufa,tena wengi kwa pressure.