CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

Kutoka chama ambacho kupitishwa kuwa mgombea lazima utoe rushwa mpaka kufikia kiwango cha chama ambacho watu wa kugombea wanakosekana!.

Hivi tunaongelea CCM ya Tanzania au CCM ya wapi?.

Ningeelewa kama mleta mada angesema CCM imekosa mgombea makini na siyo mgombea yeyote. Ninadhani kinachofanyika ni CCM kuhaha kutafuta Mgombea wanayedhani anachagulika na siyo kutafuta mgombea yeyote.

Hebu tujaribu kuwa wakweli kwa manufaa ya Taifa na siyo kuwalisha watu maneno ambayo kesho CCM wakishinda kwenye uchaguzi inakuwa ni mshangao na malalamiko kwa sababu tulikuwa tumeamishwa kuwa CCM haina mgombea.

Kuna watu wanapenda kuiaminisha jamii kama CCM imejaa watu wajinga na wasiojitambua wakati ukweli ni sivyo kama unavyoonekana kwa watu wanaojaribu kutingisha fikra zao.

Chama Dola ndani ya siasa za Tanzania hakiwezi kwa sasa kufikia kwenye kiwango cha kukosa wagombea bali kuna uwezekano wa kukosa wagombea makini kutokana na kukithiri kwa rushwa kwenye process ya uteuzi wa wagombea.
 
Jamani Kinana si ulikuja Bunda nini kimejiri hadi sasa hamjapata Mgombea na siku zinayoyoma? Hii ni dalili mbaya kwa CHAMA CHA MAPINDUZI Mkoa wa baba wa Taifa plz Muiteni Makongoro Nyerere Aokoe Jahazi ana watu huko Mara angalau ajitoke mtu asimame
 
Ng'wamapalala pole kwa kujifariji walau kwa maneno mawili matatu lakini ni ukweli usiopingika kwamba ccm wamekosa mgombea
 
Nyie vijana nyamafu zenu hivi hili suala mnajadili kujifurahisha au mnalijua?
Nadhani gongo ndio inayoongea na sio utafiti.
Subilieni aibu yenu siku ya matokeo.
CCM haiwezi kulinganishwa na chama cha wahuni.
 
Nyie vijana nyamafu zenu hivi hili suala mnajadili kujifurahisha au mnalijua?
Nadhani gongo ndio inayoongea na sio utafiti.
Subilieni aibu yenu siku ya matokeo.
CCM haiwezi kulinganishwa na chama cha wahuni.
 
Nyie vijana nyamafu zenu hivi hili suala mnajadili kujifurahisha au mnalijua?
Nadhani gongo ndio inayoongea na sio utafiti.
Subilieni aibu yenu siku ya matokeo.
CCM haiwezi kulinganishwa na chama cha wahuni.
jina lako ndo tabia yako
 
Mwana JF mzigo kaandika hivi
 
Mkuu chikutentema jamaa wamecheza vizuri sana,ulitaka watobolewe macho na kung'olewa kucha?

Mkuu ukimshitukiza mwovu dk za mwisho anakuwa hajajipanga ila ukitoka mapema anapanga hujuma zaidi, ila si mbaya hata wakihujumu cha moto wamekiona
 
Sio Bunda tu.Manispaa ya Moshi kuna kata ya Kiborloni wanahaha kutafuta mgombea wameshawaandikia watu barua kuwataka wagombee wanawatolea nje na sasa wanatafuta yeyote asimame
 

Kwa ninavyoifahamu Nyasura, watakuwa wanapoteza muda!
 

CCM ndio waasisi wa ukabila katika siasa. Inapendeza haya yanapowarudi wenyewe
 

kWELI WACHAGA NOUMA...CCM sasa wanawatumia kuleta mvuto ktk chama chao..?hayo ndio malipo.Sasa Buda CCM wanaadhibiwa na wachaga na adhabu inaingia...sijui mikoa mingine itakuweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…