CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

Hata huku Kiboroloni CCM wanahangaika kumpata mgombea nafasi ya udiwani. Kila mtu anakataa kwani wanaogopa kuvuna aibu.
 
kweka si mchaga? sasa mbona ccm walimteua au hawakujua kabila lake?
 
KWA taarifa zaidi CCM yote Bunda wanamuuogopa Mgombea wa CHADEMA bw MAgambo

Yeah ! Nimesikia hata ofisi ndogo LUMUMBA inamgwaya sana huyo jamaa , wanatupiana mpira nani aende , wanaona kuliko fedheha ni heri wakose mgombea !
 
Halafu Magambo ni ndugu ya Wassira hapo ndo patamu sasa
 
Kwani Bunda iko wapi tena?? CCM haijawahi kukosa mgombea katika uchaguzi wowote ule. Hii Bunda mnayoisema nyie ni ipi!?

Tusikurupuke tu na kuandika ili upate sifa za kijinga. Tunaomba mje na ushahidi wa kutosha hapa. Hii gongo ya chadema mbaya sana.
 

namwomba wassira akasome mathayo 23:33-36 atajifunza!
 

kwa kuwa popote ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai! Math 24:28,ccm ni mizoga!
 
dalili ya mvua mawingu, ccm ndio hivyoooo wanaondoka
 
Ki ukweli kugombea Uchaguzi kwa Tiketi ya MACCM huku ukijua kuwa unaenda kugalagazwa ni Uenda wazimu.
 
Kwani Bunda iko wapi tena?? CCM haijawahi kukosa mgombea katika uchaguzi wowote ule. Hii Bunda mnayoisema nyie ni ipi!?

Tusikurupuke tu na kuandika ili upate sifa za kijinga. Tunaomba mje na ushahidi wa kutosha hapa. Hii gongo ya chadema mbaya sana.
WEWE mkuu si uweke habari zako za uhakika kama huamini hizi habari, hujui kuwa Bunda iko mkoa wa Mara. mashariki mko0a huu unapakana na nmkoa wa Arusha, kaskazini unapakana na Nchi ya Kenya kasikazini magharibi Uganda, magharibi una mpaka wa maji na Kagera na kusini ni Mwanza . Na huu ni mwanzo kabla ya mwaka 2015 mbona mtajuta kuwa wanachama wa ccm
 
Bila ya mafungu CCM haiwezi kupata wagombea katika maeneo mengi ya nchi hii... Mtaji wao si wananchi tena...
 
Nmecheka sana "eti kuitetea ccm ni sawa na kumtetea shetani" haaahaaa!! why? pengine ni kutokana na ufisadi +wizi wao whch are the satan's deeds.... haahaaa... watakoma ccm
 
Wanaanza kukimbia aibu ya kuangukia pua,wameshuhudia arusha kilichowapa wenzao. Ila wapo wenye akili zao kama za kuku mfano Lizabone,ifwerero,msalani,chillisosi,ze macopolo na wapumbafu wengine kupingana na ukweli huu. Ndiyo dalili za kukata roho hizo kwa ccm,roho inaacha mwili. Na magamba yanauanza vibaya mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…