CCM Arusha ni vita UVCCM Waandaa maandamano ya kumtoa CHATANDA

MAFISADI HAWANA JIPYA WAMEDODA NA WAMEFULIA KISIASA..........................., bado naendelea kuamini kwamba mafisadi hawana jipya na watazidi kuchemsha na kundi lao lote na vijana wao wote wao ndio wanaopanga njama na kumuingiza madarakani kijana wao kutoka visiwani JAMAL KASSIM kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Mh Masauni(Mb) naamini hawatafanikiwa hata kidogo....nasema hata kidogo.

-wacha wamnunulia Kubenea hata JUMBO MASHINE PRINTER nini hicho kikoroboi cha milioni 20-30, ila njama wanazozipanga hazitafua dafu hata kidogo wanaplan nyingi kuliko uwezo wao wa kufikiri, wanahela nyingi hawajui wazifanyie nini, wanakundi kubwa lisilo kuwa na tija, hakuna watakalofanikiwa hao. plan wanazotumia kumuingiza JAMAL KASSIM kuwa mwenyekiti UVCCM hazitafua dafu ni bora litibuke tusubiri mwakani 2012 kuliko hizo njama zao, kikao kilichokaliwa na hao vijana wao wa mwmvulia chini ya HUSSEN BASHE BASHE wasidhani havijulikani vinajulikana na wanayoyafanya yanajulikana.

-WANAPINGO KAMA IFUATAVYO: kama LOWASA hawi rais 2015 basi kijana wao EMENUEL NCHIMBI awe rais na LOWASA kuwa WAZIRI MKUU TENA hiyo ndio hesabu yao hata hili wataula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua, leo wamemgeuka mwanamama wao MARY CHATANDA kwa kuwa hakuweza kumsaidia demu wao BATILDA BURIAN kuwa mbunge ARUSHA MJINI sasa imekula kwao waendelee kuvurugana tu na kijana wao JAMES MILLYA mwalimu sijui shule ipi ya sekondari aendelee kutumika utadhani sio mmasai halisi.

-wanamthumu kijana wa watu bure MRISHO GAMBO bila sababu yeyote japo naye mwanzo alikuwa wao lakini hawakumpenda na baadae amejua ukweli sasa wanamuona mbaya, nchii kila aliyekataliwa na BABA W TAIFA MWALIM JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNA ATAKACHOFANYA KIKAKUBALIKA MILELE hata kama utamfanyia mtu madhali ni ww unafanya itakula kwako na hao unaowafanyia.

-LOWASA ALISHAKATALIWA NA BABA WA TAIFA watanzania wanajua hilo....................., Mzee kambarage alishawahi toa hundi ya DOLLA LAKI TANO AMBAYO LOWASA ALIHONGWA NA WAHINDI KUKIUZA KIPANDE CHA ARDHI LEO NDIO KUNA SHULE YA AGKHAN MZIZIMA PRIMARY SCHOOL, hii lilikuwa MKUTANO MKUU WA HALMASHAURI KUU 1995 watanzania hawajasahau na hawatasahau hilo. wakati huo alikuwa WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO.

-KUBENEA ATAKULA NAO SAHANI MOJA PAMOJA NA KUNUNULIWA HUO MTAMBO na hao aliotajiwa kuwashughulikiwa haita tokea mbona wanamiliki MAGAZETI YAO YA TAZAMA linatoka kila JUMANNE NA LIMESHINDWA KUFUA DAFU, WANAMILIKI MKAKATI linatoka kila IJUMAA nalo limeshindwa kufua DAFU? NINI WANATAPA TAPA HAWA WATU? WAMEFULA.

-WAMEKULA YA MBUZI WATAOTA MAPEMBE.............................!!!!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kusababisha mauaji,kutukana viongozi wa dini.
Huwezi kutenda jambo kama hilo halafu ubaki salama.
 
Kuna rafiki yangu alisema watu wenye asili ya Kusini Nyanda za Juu wana hulka ya usikivu na heshima kwa viongozi na raia wa kawaida. Jina Chatanda ni la asili ya Njombe, na kama alizaliwa Tanga basi ni kutoka familia zilizolowea kipindi cha manamba. Huyu mama anaonekana kuwa na hulka kama ya Spika Makinda kwa mtazamo wangu. Kama sijakosea jina hilo ni la koo zenye asili za Njombe.
 
Matatizo yote yaliyotokea Arusha ni huyu mwanamke Chatanda, kama ni CCM kunyang'anywa ubunge ni majimbo mengi tu lakini mbona hakuna matatizo kama hayo? Kigoma, Moshi, Mwanza, Mbeya, Iringa nk. hakuja tokea mizengwe ya umwagaji damu kama huyu mama. Angalieni pia mahusiano ya huyu mama na viongozi wa usalama (polisi).
 
Matangazo yamebandikwa kila mahali kwenye barabara za mjini yakisomeka kuwa
ni maandamano ya kumtoa fisadi chatanda
pia wanadai kwenye uchaguzi wa MEA arusha aliwatukana viongozi wa Dini kwanini
hakuchukuliwa hatua na chama pia anadaiwa ndio yeye aliyesababisha wanajeshi wakahamishwa Azimio pale Sakina ili yeye awapangishie matajiri maandamano ni tarehe 4/6/2011 je pinda na mea feki watasalimika?
Source:mabango ya matangazo:

Nahaya maandamano ni ya CDM? kumbe mnajua mkikosa haki yenu mnatakiwa kuandamana? sasa kwa nini akinya bata kaarisha ila kuku sio?
 
Adui mwombeeee njaaaa kudadadeki na faida ya mjinga siku zote ni hasara pia mali kwa mali kulana siyo hasara.Senkyuuuuuu very machi Chadema kuwaamsha hawa vijana wa magamba.
 
Back
Top Bottom